Shukrani Mods kwa tangazo la Ndovu bariidi

.....lol........ YoYo..... Dah! BTW nimeipenda sig yako.... Ni ya ukweli.

"Tafuta jinsi ya kuishi maisha yenye uzima wa milele na kupokea msamaha toka kwa Mungu"
 
.....lol........ YoYo..... Dah! BTW nimeipenda sig yako.... Ni ya ukweli.

"Tafuta jinsi ya kuishi maisha yenye uzima wa milele na kupokea msamaha toka kwa Mungu"
Ubarikiwe sana.....hilo tangazo lakini wengine wale wa ile dini watasusa naona kutembelea jf....
 
ndovu.jpg Nimepeda tu rangi ya hiki kinywaji! Green for life!!
 
Kuna maana gani kususa kama utakuja na ID nyingine? lol.... Mimi sielewi Invisible kafanya nini hapa JF to the extent a person can not keep away kabisa! lol
Mama....kuna watu wanaweza kuandamana kuwa jf imekuwa klabu ya mvinyo.....si unajua hizi dini zetu....hukumbuki mwanamama yule wa nyimbo za injili aliponea chupuchupu kutengwa kanisani kwao kisa alifadhiliwa na kampuni maarufu kwa uzalishaji wa mvinyo yenye jina la mlima maarufu......
 
Mi naomba watoe hiyo makitu watuwekee ta Tusker Malt Baridiiiiiiii!

Ile kitu aliyeigundua Mungu ameshamsemehe dhambi zake zote......

Huwezi gundu makitu tamu namna ile afu ukaenda motoni....Never!
Astaghfirullah! :shock:
 
Back
Top Bottom