Shukrani kwenu wote kwa kunifariji baada ya kufiwa na mtoto kwenye ajali ya Lucky Vincent

Pole sana Mkuu. Faraja itokayo kwa Mungu tunayemuamini na kumuabudu iendelee kuwafariji leo, na siku zote zijazo.
 
Back
Top Bottom