Shujaaa mpya wa TAHLISO ni Francis Ndunguru

NAAMINI

JF-Expert Member
Oct 14, 2013
672
231
FRANCIS NDUNGURU SHUJAA NA MPAMBANAJI WA UDSM APANIA KULETA MAGEUZI MAKUBWA TAHLISO!!!

nawasalimu kizalendo kabisa ndugu zangu francis ndunguru ni mpambanaji asiekata tamaa na kukubali kirahisi hasa linapokuja suala la kupigania haki za watu na wanafunzi.

Mwaka 2011 aliweza kupigania haki za wanafunzi wa udsm hasa za kupandisha pesa ya kujikimu na maswala mengine ya mikopo ya wanafunzi na haki zao iliyopelekea kunyimwa haki ya kupata elimu pale udsm akaondolewa yeye akiwa na wapambanaji wengine kama akina Lusako(TSNP G.s) na Silayo Evarist(Diwani huko kilimanjaro)..Ni mpambanaji aliejiandaa kupigania maslai ya wanafunzi kwa ujumla...

Kamwe hamtakaa kujuta kumchagua francis kuwa mwenyekiti wa Tahliso, wanafunzi toka vyuo mbalimbali muungeni mkono mpambanaji huyu na tuhakikishe anakuwa mwenyekiti mpya wa TAHLISO!!

Tuache tofauti zetu na tuweke maslahi ya wanafunzi mbele na kuhakikisha ndugu francis ndunguru anakuwa mwenyekiti mpya wa tahliso...

Thomas Sankara alipata sema "You cannot carry out fundamental change without a certain amount of madness. In this case, it comes from nonconformity, the courage to turn your back on the old formulas, the courage to invent the future. It took the madmen of yesterday for us to be able to act with extreme clarity today. I want to be one of those madmen. We must dare to invent the future".

Tumpe nafasi huyu francis ndunguru na yeye atasaidia kufikisha mahali tahliso yetu yenye shida chungunzima mana tahliso hata ofisi haina..

Mwisho napenda kumalizia kwa maneno ya mwanaharakati maarufu Amilcar Cabral" Educate ourselves; educate other people, the population in general, to fight fear and ignorance, to eliminate little by little the subjection to nature and natural forces which our economy has not yet mastered".

We shuld be the think tank of our nation!!!

"God z our leader, truth z power and change z our mission"

U r voice z our duty.

Ipelekeni kwenye groups zenu za vyuo vikuu ili viongozi wenu waone.
 
FRANCIS NDUNGURU SHUJAA NA MPAMBANAJI WA UDSM APANIA KULETA MAGEUZI MAKUBWA TAHLISO!

Nawasalimu kizalendo kabisa ndugu zangu francis ndunguru ni mpambanaji asiekata tamaa na kukubali kirahisi hasa linapokuja suala la kupigania haki za watu na wanafunzi. Mwaka 2011 aliweza kupigania haki za wanafunzi wa UDSM hasa za kupandisha pesa ya kujikimu na maswala mengine ya mikopo ya wanafunzi na haki zao iliyopelekea kunyimwa haki ya kupata elimu pale UDSM akaondolewa yeye akiwa na wapambanaji wengine kama akina
Lusako(TSNP G.s) na Silayo Evarist (Diwani huko kilimanjaro). Ni mpambanaji aliejiandaa kupigania maslai ya wanafunzi kwa ujumla...

Kamwe hamtakaa kujuta kumchagua francis kuwa mwenyekiti wa TAHLISO, wanafunzi toka vyuo mbalimbali muungeni mkono mpambanaji huyu na tuhakikishe anakuwa mwenyekiti mpya wa TAHLISO! Tuache tofauti zetu na tuweke maslahi ya wanafunzi mbele na kuhakikisha ndugu francis ndunguru anakuwa mwenyekiti mpya wa tahliso...

Thomas Sankara alipata sema "You cannot carry out fundamental change without a certain amount of madness. In this case, it comes from nonconformity, the courage to turn your back on the old formulas, the courage to invent the future. It took the madmen of yesterday for us to be able to act with extreme clarity today. I want to be one of those madmen. We must dare to invent the future".

Tumpe nafasi huyu francis ndunguru na yeye atasaidia kufikisha mahali tahliso yetu yenye shida chungunzima mana tahliso hata ofisi haina..
Mwisho napenda kumalizia kwa maneno ya mwanaharakati maarufu Amilcar Cabral" Educate ourselves; educate other people, the population in general, to fight fear and ignorance, to eliminate little by little the subjection to nature and natural forces which our economy has not yet mastered".
We shuld be the think tank of our nation!

"God z our leader, truth z power and change z our mission"U r voice z our duty.Ipelekeni kwenye groups zenu za vyuo vikuu ili viongozi wenu waone
 
FRANCIS NDUNGURU SHUJAA NA MPAMBANAJI WA UDSM APANIA KULETA MAGEUZI MAKUBWA TAHLISO!!!
nawasalimu kizalendo kabisa ndugu zangu francis ndunguru ni mpambanaji asiekata tamaa na kukubali kirahisi hasa linapokuja suala la kupigania haki za watu na wanafunzi.
Mwaka 2011 aliweza kupigania haki za wanafunzi wa udsm hasa za kupandisha pesa ya kujikimu na maswala mengine ya mikopo ya wanafunzi na haki zao iliyopelekea kunyimwa haki ya kupata elimu pale udsm akaondolewa yeye akiwa na wapambanaji wengine kama akina Lusako(TSNP G.s) na Silayo Evarist(Diwani huko kilimanjaro)..Ni mpambanaji aliejiandaa kupigania maslai ya wanafunzi kwa ujumla...
Kamwe hamtakaa kujuta kumchagua francis kuwa mwenyekiti wa Tahliso, wanafunzi toka vyuo mbalimbali muungeni mkono mpambanaji huyu na tuhakikishe anakuwa mwenyekiti mpya wa TAHLISO!!
Tuache tofauti zetu na tuweke maslahi ya wanafunzi mbele na kuhakikisha ndugu francis ndunguru anakuwa mwenyekiti mpya wa tahliso...
Thomas Sankara alipata sema "You cannot carry out fundamental change without a certain amount of madness. In this case, it comes from nonconformity, the courage to turn your back on the old formulas, the courage to invent the future. It took the madmen of yesterday for us to be able to act with extreme clarity today. I want to be one of those madmen. We must dare to invent the future".
Tumpe nafasi huyu francis ndunguru na yeye atasaidia kufikisha mahali tahliso yetu yenye shida chungunzima mana tahliso hata ofisi haina..
Mwisho napenda kumalizia kwa maneno ya mwanaharakati maarufu Amilcar Cabral" Educate ourselves; educate other people, the population in general, to fight fear and ignorance, to eliminate little by little the subjection to nature and natural forces which our economy has not yet mastered".
We shuld be the think tank of our nation!!!
"God z our leader, truth z power and change z our mission"
U r voice z our duty.
Ipelekeni kwenye groups zenu za vyuo vikuu ili viongozi wenu waone
 
kakojoe ulale , huku duniani tunaangalia nani mwenye mkwanja mrefu sio hizo sifa za kijinga.....
 
Kama wewe ndo kampen manager unaandika hv? Msomi...

Umeshindwa kuandika kwa ushawishi. Umeshindwa kutaja changamoto na jinsi atavyo tatua, ana sera zipi? Vipaombele vyake ....

Umetaja tuu jambo la muhim hapo alifukuzwa chuo 2011 beside hapo hamna kingine.

Hatumjui jamaa anacheo gan kwa sasa, alifanya yepi? Khaaa

Kampeni za hivi ni kama za wasio wasomi
 
FRANCIS NDUNGURU SHUJAA NA MPAMBANAJI WA UDSM APANIA KULETA MAGEUZI MAKUBWA TAHLISO!!!

nawasalimu kizalendo kabisa ndugu zangu francis ndunguru ni mpambanaji asiekata tamaa na kukubali kirahisi hasa linapokuja suala la kupigania haki za watu na wanafunzi.

Mwaka 2011 aliweza kupigania haki za wanafunzi wa udsm hasa za kupandisha pesa ya kujikimu na maswala mengine ya mikopo ya wanafunzi na haki zao iliyopelekea kunyimwa haki ya kupata elimu pale udsm akaondolewa yeye akiwa na wapambanaji wengine kama akina Lusako(TSNP G.s) na Silayo Evarist(Diwani huko kilimanjaro)..Ni mpambanaji aliejiandaa kupigania maslai ya wanafunzi kwa ujumla...

Kamwe hamtakaa kujuta kumchagua francis kuwa mwenyekiti wa Tahliso, wanafunzi toka vyuo mbalimbali muungeni mkono mpambanaji huyu na tuhakikishe anakuwa mwenyekiti mpya wa TAHLISO!!

Tuache tofauti zetu na tuweke maslahi ya wanafunzi mbele na kuhakikisha ndugu francis ndunguru anakuwa mwenyekiti mpya wa tahliso...

Thomas Sankara alipata sema "You cannot carry out fundamental change without a certain amount of madness. In this case, it comes from nonconformity, the courage to turn your back on the old formulas, the courage to invent the future. It took the madmen of yesterday for us to be able to act with extreme clarity today. I want to be one of those madmen. We must dare to invent the future".

Tumpe nafasi huyu francis ndunguru na yeye atasaidia kufikisha mahali tahliso yetu yenye shida chungunzima mana tahliso hata ofisi haina..

Mwisho napenda kumalizia kwa maneno ya mwanaharakati maarufu Amilcar Cabral" Educate ourselves; educate other people, the population in general, to fight fear and ignorance, to eliminate little by little the subjection to nature and natural forces which our economy has not yet mastered".

We shuld be the think tank of our nation!!!

"God z our leader, truth z power and change z our mission"

U r voice z our duty.

Ipelekeni kwenye groups zenu za vyuo vikuu ili viongozi wenu waone.

Umoja huo inabidi upingwe vikali na vyuo vyote vya umma maana kwa idadi ya vyuo vikuu vya umma na binafsi vyuo vya umma viko vichache sasa hao marais wa hivyo vyuo wamekuwa wakitumika vibaya kurudisha nyuma harakati zilizoanzishwa na vyuo vya umma wakati wanasahau hata hiyo mikopo wanayopata Leo hao walioko vyuo binafsi ni juhudi za kimapambano za wanafunzi wa vyuo vya umma vikiongozwa na UDSM ndio maana ilikuwa na sauti kubwa kama nchi zingine mwaka 2006/2007 kuliibuka vuguvuga LA kuanzisha umoja wa vyuo vikuu vya umma Tanzania lkn serikali kupitia vyuo binafsi ilivunja hiyo move nakuwa na Tabia ya kupandikiza watu wa private kurudisha juhudi za ukombozi wa mwanafunzi maskin wa Tanzania vijana kuweni macho umoja huo sio msaada kwenu tena wazeni upya na mdai harakati mpya
 
DARUSO inatosha TAHLISO ovyo sana continuous students wamebaniwa mikopo nyie mmekomaa kuleta ushenzi wa kujadili hotuba ya magufuli bungeni kaongozeni Magamba uko DARUSO yatosha...
 
...u.s.e.n.g.e mtupu!...kwahiyo kutajataja quotes ndo nini?
..umemnadi au umembomoa?
...to hell!...mbaaafff!
 
FRANCIS NDUNGURU SHUJAA NA MPAMBANAJI WA UDSM APANIA KULETA MAGEUZI MAKUBWA TAHLISO!!!
nawasalimu kizalendo kabisa ndugu zangu francis ndunguru ni mpambanaji asiekata tamaa na kukubali kirahisi hasa linapokuja suala la kupigania haki za watu na wanafunzi.
Mwaka 2011 aliweza kupigania haki za wanafunzi wa udsm hasa za kupandisha pesa ya kujikimu na maswala mengine ya mikopo ya wanafunzi na haki zao iliyopelekea kunyimwa haki ya kupata elimu pale udsm akaondolewa yeye akiwa na wapambanaji wengine kama akina Lusako(TSNP G.s) na Silayo Evarist(Diwani huko kilimanjaro)..Ni mpambanaji aliejiandaa kupigania maslai ya wanafunzi kwa ujumla...
Kamwe hamtakaa kujuta kumchagua francis kuwa mwenyekiti wa Tahliso, wanafunzi toka vyuo mbalimbali muungeni mkono mpambanaji huyu na tuhakikishe anakuwa mwenyekiti mpya wa TAHLISO!!
Tuache tofauti zetu na tuweke maslahi ya wanafunzi mbele na kuhakikisha ndugu francis ndunguru anakuwa mwenyekiti mpya wa tahliso...
Thomas Sankara alipata sema "You cannot carry out fundamental change without a certain amount of madness. In this case, it comes from nonconformity, the courage to turn your back on the old formulas, the courage to invent the future. It took the madmen of yesterday for us to be able to act with extreme clarity today. I want to be one of those madmen. We must dare to invent the future".
Tumpe nafasi huyu francis ndunguru na yeye atasaidia kufikisha mahali tahliso yetu yenye shida chungunzima mana tahliso hata ofisi haina..
Mwisho napenda kumalizia kwa maneno ya mwanaharakati maarufu Amilcar Cabral" Educate ourselves; educate other people, the population in general, to fight fear and ignorance, to eliminate little by little the subjection to nature and natural forces which our economy has not yet mastered".
We shuld be the think tank of our nation!!!
"God z our leader, truth z power and change z our mission"
U r voice z our duty.
Ipelekeni kwenye groups zenu za vyuo vikuu ili viongozi wenu waone

namkumbuka sana huyu shujaa. hivi yuko chuo gani kwa sasa?
 
Back
Top Bottom