shughuli ya ufanguzi wa tawi la chama ni hadi polisi wakubali?

mumburya

JF-Expert Member
Mar 19, 2012
321
448
Wanajamvi naomba mnieleweshe, je,shughuli ya ufanguzi wa tawi la chama ni hadi polisi wakubali?

Naomba kutoa hoja.
 
Yes, kama ni la chadema. Mti wenye matunda ndio unaopopolewa mawe.
Una suali ama suala lingine?
 
Back
Top Bottom