Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 3,611
- 8,737
Wote tunaona idara ya ulinzi wa jeshi la taifa likiweka vitengo ambavyo vinaweza kuwalinda na kuwaongoza wenyewe mfano kama polisi za kijeshi kwa wanajeshi.
Sasa upande wa polisi hapa kwetu kumekuwa tofauti ambapo polisi hakuna wa kuwajibishwa hata kama polisi mwenzake labda upande wa rushwa tena kwenye idara iliyoundwa TAKUKURU.
Jambo lilonileta kuwaza ili ni pale wananchi wengi wanashindwa kuwashitaki polisi pindi wanapokiuka PGO. Na hakuna sehemu ambapo kosa linaweza kufanywa na polisi ukawezwa kusaidiwa hata kama ushaidi unao au limetokea.
Kama mpo wahusika hapa JF naomba lifikishwe mahali husika:
Police Bereau and Investigation (PBI).
NI idara inayojitegemea ikiwa imekusanya wataalamu na waelewa ili kuwa simamia polisi na upelelezi endapo kuna umashaka au ukiukwajiuliopindishwa na kushindikana.
Sio hilo tu kuwa wapelelezi wanaoweza kuchunguza wasiofungamana na polisi wa usalama ili kulinda usalama wa mali na raia.
Idara hii inaweza kuwaongoza jeshi la polisi na kuwapa weledi zaidi ili kupunguza haya malalamiko wanayopata sababu hakuna wa kuwasimamia kama Jeshi la Polisi.
Ili kupunguza kila tukio kuundwa tume uhuru kuchunguza polisi wafanyapo makosa na wananchi wapi pa kukimbilia kutoa malalamiko yao.