Show ya Diamond kufuru tupu, Kiingilio Million tatu

Ulinzi wa pale utakuwa kama aliopewa Obama alivyokuja bongo.. Itakuwa watu wamevaa suti nyeusi na miwani ya kijasusi sikioni earphones za security, ebu nambie kipondo chake muhuni wa kariakoo akisogea. .

Teh Teh mkuu unanivunja mbavu maana sipati picha muhuni wa kariakoo ana pata wapi jeuri ya kwenda hapo kwa hivyo viingilio..
 
Halafu ohh maisha mgumu m3 kuangalia upuuzi du
Unafikiri hata hasipo watoza kiasi hicho maisha yatabadilika?
Kuna watu hawajui hilo neno maisha magumu.Wacha atumie
fursa.

Sio upuuzi hii ndio akili anayo takiwa kuwa nayo kila msanii...lazima msanii ajifunze jinsi ya kujipandisha thamani..bila hivi wasanii wataendelea kulipwa laki5! Hivi ndivyo msanii anapaswa kujithaminisha....
 
Noah ina matangazo nyuma kma mabasi y mkoani hahahaaaa

Uknw lepanywa road kufwa for me...
Uknw nyuma ya my noah nimeweka tangazo la leumemez zari all white party..
Uknw mimi ni akili kubwa...i make a lot of money uknw..
Hahahahahaha lepwanya road hawawezi kulipa 1mil uknw..
Hahahaha i love it..
 
Back
Top Bottom