Should i attend this wedding

Inachosa sana, kwakweli nimehisi uchungu moyoni, it is a betrayal of the highest order!!!!!!!!!!!!!!!!!

Anyways, mimi nadhani nenda kahudhurie ndoa na harusi ya shosti kama ambavyo mchangiaji mmoja amesema hapo juu wanawake huwa tunamind sana.
Pili, mahudhurio yako yatapelekea hata siku ukiamua kumuuliza shostito kilichotokea anaweza kukueleza ukweli basi nawe utapata kuelewa, kwani hata usipoenda harusini hutapata majibu ya kilichosababisha mmoja kufa na wengine wawili kuoana.
 
Dada nenda wewe haikuhusu kitu hiyo kesi kafa kwa ushamba wake mwenyewe miaka7 GF anagoja nini ndo hilo kalipata sasa anmchakaza mtoto wa watu. loo hatahivyo kavumilia sana, jamani msimchanganye yeye ni mualikwa tu kama wengine
 
kafa kijana....aliyekuwa anadhani ni yeye ndo anapendwa..kuja kustuka dada anaolewa na mtu mwingine kabisa......akapata kitu kinaitwa eutanesia death ( kifo cha huruma).....huyu mleta mada alikuwa anaishi na huyo dada na alikuwa hajmwambia kuwa ana mtu mwingine ambaye wamepanga kufunga ndo yeye alikuwa anamjua marehemu huyu...sasa hapa anauliza aende harusini maana kadi kaletewa....
umeelewa sasa si ndiyo?....

Edson we ni mwalimu? Hongera sana
 
Da!! imeniuma utadhani mimi ndy niliyeumizwa, Huyo msichana ana roho ya chuma, lakin ukatili huu TUNAFUNDISHWA NA WANAUME, WANAUME WANATUUMIZA SN SN KIASI AMBACHO SOMTMS WANAWAKE NAO WANAKUWA KATILI ZAIDI YAO...KWENDA AU KUTOKWENDA HAYO NA MAAMUZI FUATA NDANI YA MOYO WAKO UNAONGOZWA NA NINI???......JAMAN HEBU TUACHA KUDANGANYANA, HAYA NDIYO MADHARA YA UONGO....WANAUME CHONDE CHONDE ACHENI UONGO,,MWANAMKE NI KATILI SANA PINDI ANAPOAMUA KUFANYA UKATILI ILA HURUMU WALIYOPEWA NA MUNGU NDIYO WAKATI MWINGINE INAWAZUIA WASIFANYE UKATILI.....IMENIUMA SN SN,,,SIJUI KWA NINI MAPENZI YAPO NA HAYAKWEPEKI???...NATAMANI NIPATE DAWA YA KUTOKUPENDA....JE IPO??


Nimeyaona mengi lakini sijayaona haya hata mimi imenigusa sana,niliposikia huyu bwana amefariki wazo langu la kwanza nilifikiria amejinyonga kwa sababu ya kuwachwa kila mtu alijuwa huyu mtu alikuwa amekata tamaa na maisha sababu ya harusi ya mpenzi wake wa miaka saba kwa hivyo watu wengi waliowajua walimlaumu huyu dada kwa kumtesa na kumtumia huyu ndugu.Nikweli unavyosema eti wanaume wanafanya wanawake wakawa waovu kabla ya haya dada huyu alitupwa na mpenzi wake wa miaka mitano ambaye waliishi pamoja.
 
kumwamini mtu saa nyingine sio vizuri, hivi unakuwa na mtu for 7 yrs na usielewe mipango yake???

any way rafiki yako hatakuelewa, itabidi uende tu kwa shingo upande, then nafikiri umeshajua kuwa huyo rafiki yako ni mtu wa namna gani!! TAKE A GOOD CARE


Ahsante sana kwa ushauri huu ,mama yangu mzazi pia ameniambia hivyo hivyo ya kwamba huyu ni mtu muovu na nijitege kutoka kwake kwa sababu ni mtu anaweza pia kunitenda.Mama yangu alinishauri nisiende hiyo harusi manake ni harusi ina laana kwa sababu ya uongo wa huyu msichana.
 
Back
Top Bottom