Shosti, Dena Amsi,Hashycool na Pdidy nimewasikia I am back...........

Dear Shosti, Pdidy and Dena Amsi for the PM,

Thank you, Asprin , Bubu Ataka Kusema , WomanOfSubstance, Fidel80, FirstLady1, Freestyler ,Gurudumu , HengeInkoskaz , , Kaizer , Katavi ,Kimey , klorokwini , LD, Michelle , Miss Judith MwanajamiiOne , Mwenzetu ,Mzee Mwanakijiji, Nguruvi3 ,PakaJimmy , RealMan ,Rose1980,Shapu The Finest, VoiceOfReason , WiseLady ,Yo Yo and Zion Daughter, , ,hashycool and others for your support and contribution on my threads and posts.

Greetings,

I must admit have good relation for the short period as friends which is very sweet and fruitful. I have learned a lot from you guys…….. experience and expert guidance’s, which I can never forget in lifetime to come.

And a day has come to say I am back and we will be together as friends in good faith and relation. This is to due to your PM’s the threads and comments on those threads asking to return.

Lastly, I thank all of you JF members which I haven’t mentioned your names for the excellent relation we had during my presence. We are one BIG family lets share what we have.

Yours sincerely,

Mohammed Shossi.

Karibu sana jamvini
 
My point exactly (hapo kwenye nyekundu)!!!

Kunyamaza (kwa maana ya kutoanzisha thread za pumba) ni hekma!!!

Katiba yetu ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania ya 1977, ibara ya 18 inayotoa haki ya uhuru wa maoni, inasema:"18.-
(1) Bila ya kuathiri sheria za nchi, kila mtu yuko huru kuwa na maoni yoyote na kutoa nje mawazo yake, na kutafuta, kupokea na kutoa habari na dhana zozote kupitia chombo chochote bila ya kujali mipaka ya nchi, na pia ana uhuru wamawasiliano yake kutoingiliwa kati.

kwahiyo shukrani sana kwa maoni yako....................
 
Shossi nakupendaaaaaaaaaaaaaah
Ujue nakupendaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah

Karibu jamvini, jisikie nyumbani,
anayekuudhi, mlete nimchape,
Shossi wewe ni wathamani,
Katu usiende mbali.

Furahi shangilia, amani uwe nayo!!
Shossi hata ukitukanwa, wewe potezea,
Hiyo kauli mbiu, wala usichukie,

Daaa haya bwana, hivo hivo, nitakuja tuition jioni unifundishe kutunga hayo
manyimbo na mashairi.
Thanks for your:decision::decision::decision::decision::decision::decision::decision::decision::decision:and will:pray::pray::pray::pray: for you!!
 
dah! kwa zali hili nadhani namimi nitajifanya kutoweka halaf nirejee. si utaniimbia namimi au?
 
Shukran napokea na salam bado mapema
Namuomba ya Rahim akupe maisha mema
Akujaalie fahamu na furaha ya daima
Akupe istiqam kuyatenda yalo mema.

Nakungoja kwahamu twisheni nikupe
Nitakupa ujuzi ila usije fanya mapepe
Shairi uzitunge na ghani na nahau
Ila ulipe kidogo fadhila usijekusahau.....
 
dah! kwa zali hili nadhani namimi nitajifanya kutoweka halaf nirejee. si utaniimbia namimi au?

Klorokwini usitoweke manake, nitalia mpaka nikauke, nitakuwa najiimbia hivi!!

Nailazimisha furaha,
Ingawa moyoni na majonzi!
Nani wa kunifuta machozi, umeondoka, umekwenda mbaliiiiiiiiii!!!!!!

Maumivu teleeeee moyoni, kweli nimejawa hofu,
Sina tofati na kipofu kwani hata njiaaaaaaaaaaaaa siiiiiiiiiiiiiiiiiiioooooooooooooniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiih!!!!!!!!

Ngoja niache wasije wakani:flame::flame::flame:wenye wimbo wao!!!!
 
Klorokwini usitoweke manake, nialia mpaka nikauke, nitauwa njiimbia hivi!!

Nailazimisha furaha,
Ingawa moyoni na majonzi!
Nani wa kunifuta machozi, umeondoka, umekwenda mbaliiiiiiiiii!!!!!!

Maumivu teleeeee moyoni, kweli nimejawa hofu,
Sina tofati na kipofu kwani hata njiaaaaaaaaaaaaa siiiiiiiiiiiiiiiiiiioooooooooooooniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiih!!!!!!!!

Ngoja niache wasije wakani:flame::flame::flame:wenye wimbo wao!!!!
dah! acha niongeze jero niendelee kukaa cafe. hakyanani nitauza mpaka jinzi ya skukuu mwaka huu
 
Every step I take,
Every move I make,
Every single day,
Every time I pray,
I'll be missing you!!

aaaaaaarrrghhhh hii yangu ya kukopi na kupesti wakati ya shossi ilitoka dairektli proposheni fromu ze hat....nakataaa
 
aaaaaaarrrghhhh hii yangu ya kukopi na kupesti wakati ya shossi ilitoka dairektli proposheni fromu ze hat....nakataaa
afazali wewe ya p diddy, mimi nimeimbiwa ya bongo fleva bana. yaani nimeuchuna tu kwasababu za kiafya lakini LD inabidi aniombe razi tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom