Shosti, Dena Amsi,Hashycool na Pdidy nimewasikia I am back...........

Exactly sissy! Huyu jamaa haeleweki anafikiri unaweza kutafuta umaarufu kupitia JF.
Get a life Mohamed Shosti (aka Malaria Sugu!)

Mhh Mohamed Shossi hawezi akawa Malaria Sugu,hivi malaria sugu angekuvumilia kweli kwa haya maneno uliyoyaandika kweli? humjui Malaria Sugu vizuri wewe! tunashukuru mungu hayupo kutuchafulia hali ya hewa kwenye jamvi letu hapa!
 
Watu kama hao unawapotezea tu ili wajijue thamani yao.............
 
Mhh Mohamed Shossi hawezi akawa Malaria Sugu,hivi malaria sugu angekuvumilia kweli kwa haya maneno uliyoyaandika kweli? humjui Malaria Sugu vizuri wewe! tunashukuru mungu hayupo kutuchafulia hali ya hewa kwenye jamvi letu hapa!

If they are not the same person, then I can see there's a very thin line separating their respective philosophies!!

One common irritating habit between these persons includes flying around those useless and mostly pointless threads and when cornered by contributors for lack of substance they start looking for non-existent witches!

MS has to improve fast, then I'll sing halelujah
 
well done kamanda! as hero as hero can be. na huyo mzembe alokulostisha ukitaka tumshuhulikie unaweza ukatupa details zake tu tukaelekea sumbawanga, lakini kama umeamua kumsamehe its ok.
welcome again buddy.

Yesu anatufundisha kugeuza shavu lingine, na kusamehe saba mara sabini. Mtoa adhabu ni Mungu peke yake,
 
mzee karibu tena mimi nilitegemea utarudi kuchungulia na ukiona tunavyoswing unge login tu.uzuri na ubaya wa hii kitu ni kuwa si kila member atafurahi na post zako lakini wapo watafarijika ama kujifunza kitu
vilevile kwako hiki ni kisima educative ambacho unapata mengine usiyoyajua kutoka kwa wataalamu wa nyanja tofauti so sometimes japo ni ngumu kumeza lakini dawa unameza unapona unaendelea..(Kumbuka katika msafara wa mamba nakenge wamo!)
binafsi kuna mkuu alishanipa jina alijualo just b'coz of avatar,niliumia lakini nikasema maadam asemavyo sivyo ilivyo basi tutabanana tu humuhumu...siku hizi tunapeana mathanks kibao
Thats life bro,just keep on rolling through up and down
 
mzee karibu tena mimi nilitegemea utarudi kuchungulia na ukiona tunavyoswing unge login tu.uzuri na ubaya wa hii kitu ni kuwa si kila member atafurahi na post zako lakini wapo watafarijika ama kujifunza kitu
vilevile kwako hiki ni kisima educative ambacho unapata mengine usiyoyajua kutoka kwa wataalamu wa nyanja tofauti so sometimes japo ni ngumu kumeza lakini dawa unameza unapona unaendeleaKumbuka katika msafara wa mamba nakenge wamo!)
binafsi kuna mkuu alishanipa jina alijualo just bcoz of avatar,niliumia lakini nikasema maadam asemavyo sivyo ilivyo basi tutabanana tu humuhumu...siku hizi tunapeana mathanks kibao
Thats life bro,just keep on rolling throuug up and down

I agree with you bro especial hapo kwenye bold nyekundu wengine wameanza chokochoko kwenye hii thread lakini mie nawanyamazia tu! kunyamaza napo ni dawa...................
 
karibu tena bwana (ingawa ulikuwepo), mimi sikusema kitu kwa sababu instincts zangu ziliniambia kwamba ulikuwa unafanya mchezo wa kuigiza
 
I agree with you bro especial hapo kwenye bold nyekundu wengine wameanza chokochoko kwenye hii thread lakini mie nawanyamazia tu! kunyamaza napo ni dawa...................

My point exactly (hapo kwenye nyekundu)!!!

Kunyamaza (kwa maana ya kutoanzisha thread za pumba) ni hekma!!!
 
Lakini mohamed unadeka, iko siku utahitaji sapoti ya kweli halafu watu watapotezea wakidhani ni kale kamchezo
 
Lakini mohamed unadeka, iko siku utahitaji sapoti ya kweli halafu watu watapotezea wakidhani ni kale kamchezo

Wala sideki na sideki kwakuwa sitokei makorora natokea ngamiani karibu na chuda raha muulize Fidel80 atakupa khabari...........
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom