shivji,jenerali kuunguruma kesho nkrumah hall

togo

Member
Nov 8, 2010
40
1
kesho jumamosi professa Issa Shivji na Jenerali Ulimwengu watakuwa na kongamano endelevu juu ya katiba mpya katika ukumbi wa nkurumah chuo kikuu kuanzia saa nne wote mnakaribishwa hata kama sio wana jamii ya mlimani,natamani hata Dk.Yusuf makamba angekuwepo
 
...msikose kuwatumia invitation letter Makamba, Kombani na AG then wakikosa waambieni wahudhuriaji kwamba mliwa-invite lakini hawakuja
 
Huu ndo umakini wa wasomi tunaoutaka...si kuendekeza miropoka ukweli ni kuwa hawa jamaa watawaprove wrong wale wanaviraka kama werema
 
Muda ni saa nne kamili asubuhi wadau wa katiba wote wameshaalikwa AG,na waziri wa sheria na katiba
 
Warioba Yumo? How About Malecela? JK Hawezi Kuja Kabisa Mlimani Hii Nina Uhakika...
 
Back
Top Bottom