Shirika la VIWANGO kuwapima watu wa Tanzania.

Nzowa Godat

JF-Expert Member
Jun 15, 2011
2,783
819
Wakuu haya mambo ni kweli? kwamba watz watapimwa afya na kugongwa nembo ya tbs ! Habari hizi zimeenea sana hapa samunge. Eti, watanzania wengi afya mgogoro ndio maana wanajaa; loliondo, vituo vya maombezi, kwa magagula, INDIA, n.k. na kwamba mapadre hawatafungisha ndoa bila hiyo nembo!!
 
Wakuu haya mambo ni kweli? kwamba watz watapimwa afya na kugongwa nembo ya tbs ! Habari hizi zimeenea sana hapa samunge. Eti, watanzania wengi afya mgogoro ndio maana wanajaa; loliondo, vituo vya maombezi, kwa magagila, INDIA, n.k.

Itbidi waanze na viongozi wa Chama chenu!
 
Hahahah just imagine una bonge la chata la tbs tena wapige kwenye masaburi ndo raha
 
Back
Top Bottom