Shinyanga: Mkutano wa Pinda wakosa watu!

Chanya

Senior Member
Mar 2, 2011
133
22
nipo hapa viwanja vya shycom kwenye mkutano wa mh pinda kiukweli hakuna watu kabisa zaidi ya wanafunzi wa uhuru sekondari waliolazimishwa kuja leo ni ajabu ingawa kuna burudan na naona lori moja limeingia na watu nyomi nb simu yangu haiwezi kupiga pics mdau mwenye uwezo asongee
 
Siku hizi amekuwa mtoto wa Mafisadi, hana mpango huyo mzee ni fisadi tu kama Kikwete, ana uso mzuri kama Wassira.
 
Leo mpaka alie tena huyo FISADI!Mtetezi wa posho huyo!atawaambia nini wana Shinyanga washastuka.
 
Kwake huyu kukosa watu kwenye mkutano wake wa ki-siasa wala sioni ajabu yoyote maana hivi sasa hatua inayofuatia kwao si kipindi kirefu huenda ikawa ni kule kulakiwa na mvua ya mawe toka kwa wananchi wenye hasira na kukata tamaa kila kona ya nchi.
 
kuna lori la halmashauri ya shy vijjn limeleta watu zaid wapo katikati ya uwanja tu wanashangaa nyoka tena ni wafunzi wa shycom na uhuru sekondari
 
Nimeona majukwaa hapo uwanjani nikajiuliza ni nini tena ilikuwa naelekea Kanisani baada ya kutoka nikaona trafic na magari wako speed ndipo nikagundua kuwa Ooh kumbe ni PM!
Nikajisemea moyoni hana jipya kwahiyo niendelee na shughuli zangu.
 
mwanzoni alionekana kweli mtoto wa mkulima lakini sasa anonekana kibaraka wa mafisadi kwani alishatuambia kupitia bunge kwamba kupambana na mafisadi ni hatari kwa usalama wa nchi. watu wameshamjua anatumika kama shockup ya magamba. kiboko yake madaktari
 
Watu amepata tatizo kwa mikutano inayofanyika Shinyanga hasa kama ni CDM wanafanya mikutano hiyo ni tofauti na mikutano ya CCM ama serikali yake.Mkutano wa CDM hata ukihutubiwa na kaimu mwenyekiti wa CDM mkoa,hujaza watu wengi sana tofauti na mkutano wa leo,pia kwenye mkutano wa CDM watu huja wenyewe bila kusombwa na magari lakini wa CCM huletwa na malori
 
Mkumbuke kuwa hilo jimbo walishinda CDM. mkurugenzi akachakachua matokeo akampa wa CCM.
Hivyo haya ni matokeo ya movie ya mwaka 2010
 
Back
Top Bottom