Wa Kwilondo
JF-Expert Member
- Sep 15, 2007
- 1,081
- 312
Wadau naomba kujua kuhusu TShs kimataifa ni kuwa haina thamani au haijulikani? nimepita nchi nyingi kusini mwa Tanzania kwenye bureau de change,mabenk haionyeshwi exchange rate yake, even in black market haipo ukiacha mipakani kwetu. Na kwenye all international Tv in business news in exchange rate haipo zaidi ni Kshs & Ushs. Wadau Naomba elimu kuhusu hili. :usa::coffee: