Shilingi ya Tanzania inaporomoka kwa kasi kubwa

Sarafu iko sawa haishuki kwa kasi kiivyo. Bei za bidhaa zimepanda dunia nzima, watu tunaongezeka, na mahitaji yanaongezeka. Malighafi zinapanda bei, gharama za uzalishaji zinaongezeka hivyo bei ya mlaji itaongezeka tu.

Tunaagiza kutoka nje kwa wingi kuliko tunavyouza nje, hivyo tunatumia pesa za kigeni nyingi kununua nje kuliko kiasi tunachoingiza kwa kuuza nje. Haya sasa kuna vita, na wahusika wakuu ni wale wanao tusaidia kila siku, hivyo na misaada inapungua, yani hatupati subsidies kutoka serikalini au donor countries hivyo tuna ona kila kitu kiko juu.

Thamani ya pesa ina factor nyingi sana.
 
Sarafu iko sawa haishuki kwa kazi kiivyo. Bei za bedhaa zimepanda dunia nzima, watu tnaongezeka, na mahitaji yanaongezeka. Malighafi zinapanda bei, gharama za uzalishaji zinaongezeka hivyo bei ya mlaji itaongezeka tu.
Tunaagiza kutoka nje kwa wingi kuliko tunavyouza nje, hivyo tunatumia pesa za kigeni nyingi kununua nje kuliko kiasi tunachoingiza kwa kuuza nje. Haya sasa kuna vita, na wahusika wakuu ni wale wanao tusaidia kila siku, hivyo na misaada inapungua, yani hatupati subsidies kutoka serikalini au donor countries hivyo tuna ona kila kitu kiko juu.
Thamani ya pesa ina factor nyingi sana.
Je, 'factor' ya dollar moja ya kimarekani kuwa sawa na madafu yetu zaidi ya 2,000/ haionyeshi kushuka kwa thamani ya madafu? Nakumbuka tuliwahi kuwa na $1 sawa na madafu 7 enzi fulani. Nini kilitokea tukafika hapa tulipo leo?
Siamini kuwa ni hayo uliyoeleza hapo wewe.
 
Sisi tuna export malighafi tena kidogo, wao wana export finished product kwa wingi. Import/Export ratio. Wao wanatechnologia wanazalisha ndani zaidi, na ziada wanagawa nje, sisis technologia hatuna, tunazalisha kidogo, ili kukidhi mahitaji yetu ya ndani tunaagiza kutoka nje. Tunaponunua kutoka nje tunatumia pesa za kigeni.

Kumbuka Dollar ni moja ya sarafu zinazutumika kama sarafu za biashara kimataifa, bila kusahau Swiss Franc, Japaneese YEN, British Pound, pesa ya kijerumani, kifaransa na Italiano.

Madafu yetu hayawezi kupanda thamani wakati hatuzalishi bidhaa zinazouzika kimataifa.

Factor ni nyingi wataalamu wasomi wa uchumi watasaidia mengine.
 
Nakubaliana nawe, 'factor' ni nyingi; lakini hao wataalam unaowaita hapa msaada wao ni kidogo sana. Hawa ndio kila mwaka, kwa miaka zaidi ya 60 wanaopanga maswala ya uchumi wetu; angalia tulikofikia sasa!

Tuwaache hao wamarekani , wajapan na wengineo. Zungumzia madafu yetu na yale makopo ya Kenya, hapo utakuwa mlinganisho mzuri.
Haya tupe sababu za madafu kuwa 2,000 kwa dola; yale ya wenzetu ni takribani 130 hivi kwa dola..

Hapana, usifikiri nakudadisi, maelezo yako ni mazuri tu toka huko juu.
 
Sidhani kama mimi ni mtu sahihi lakini nadhani hili ni somo pana sana, Technological development, kama automation, digitazation, Global Finance, Global economics, geo politics, governmental policies, Structural transformation na mengine mengi ni mambo yana hitaji mchumi msomi. Mimi sina uwezo mzuri sana ingawa naweza kujaribu nikaeleza kwa ufasaha kila sababu nikiwa na muda.

Ila baadhi ya sababu ni hizo hapo juu, ila ukilinganisha na majirani wetu napo kuna sababu za kiuchumi, kisiasa, kimfumo, na mabadiliko ya mifumo na policies zetu kiuchumi na fedha, ndio maana nikasema factors ni nyingi, hakuna sababu moja ni nyingi na zinahitaji wabobevu wa eneo hilo kuzichambua kwa ufasaha.
 
Tuachane hapa. Ila haya mambo ya 'economics' kwangu huwa si tofauti sana na utabiri wa hali ya hewa, ingawaje kidogo siku hizi 'technology' imeufanya utabiri wa hali ya hewa kuwa nafuu zaidi ya hiyo 'economics'.
Yaani, maelezo ya uchumi hayakosi visingizio uchumi unapodorora. Biden akipata mafua, utasikia uchumi wetu umeathiriwa na hali hiyo. Hivyo hivyo, uchumi ukiwa mzuri kidogo (sijui kuwa mzuri ni kufanyaje, labda matarakimu yakionyesha kwenye karatasi, huku hali za wananchi hazina nafuu yoyote), utasikia Biden alikuwa na furaha sana siku chache zilizopita, ndiyo maana na sisi tukapata nafuu.

All in all, uchumi pekee unaotakiwa kuwekewa mkazo, ni hali za wananchi zinavyoonekana kushamiri, na siyo matarakimu kwenye karatasi.
Nimeona nimalizie hivyo, ingawaje siwadharau wenye fani yao ya uchumi, kama akina Lipumba.
 
Tuwaachie hayo ni yao, kama ulivyosema uchumi unaboreka kwa wananchi lakini Serikali zetu uchumi unaboreka midomoni, hasa nyakati hizi miaka ya uchaguzi.
 
Kwa waziri fedha kama Mwigulu na nyakati za ufisadi, thamani ya hela itaporomoka tu.

This situation is very bad in investing for the future. You can’t build wealth under this circumstance kama mfanyakazi wa umma umewekeza kwenye cash products and bonds.

Uncontrolled inflation is bad news in investment perspective for ordinary people, inflation just wipes out the value of money in the long run.

Nchi inahitaji economists

Bila ya wahusika kutafuta watu wenye sifa sahihi na kuanza kuwatengeneza kuwa viongozi wa baadae Tanzania isahau maendeleo.

Ni kwamba ili kundi la vijana wa sasa hawana uwezo kwa kuongoza kwa international standard na dunia inapoelekea.
 
Kwa kweli shillingi ya Tanzania inaporomoka kwa kasi ya kutisha dhidi ya sarafu nyingine. Ukitaka kujua kuwa shillingi yetu inaporomoka kwa kasi linganisha bei ya bidhaa kwa leo na ulinganishe na miaka mitatu, miwili na hata mwaka mmoja.

Chukua mfano wa nishati ya mafuta. Miaka mitatu iliyopita bei ya dizeli kwa lita moja ilikuwa wastani wa Tshs.1,500 leo hii lita moja ya dizeli ni wastani wa Tshs.3,300. Mfano mwingine chukua sukari. Miaka mitatu iliyopita sukari kilo moja ilikuwa Tshs. 1,300 leo hii kilo moja ya sukari ni Tshs.3,500.

Sasa tuje kwenye kichekesho. Jana nilikuwa kwenye mwalo moja hapo Ziwa Victoria na sikuamini macho yangu nilipoambiwa kuwa samaki moja aina ya sato ni Tshs. 30,000 karibia bei ya mbuzi wakati miaka mitatu iliyopita samaki wa uzito huo alikuwa akiuzwa kwa Tshs.8,000.

Tuna wachumi, tunaelezwa uchumi kwa Mama umepaa na mbona sisi wananchi hatuoni badiliko lolote. Huku kijijini kuna umaskini wa kutisha. Mtu kujaliwa kula balanced diet labda kuwe na harusi au sherehe fulani.

Tuwaulize wachumi wetu, Je uchumi umepaa kwa vigezo gani?.
Leo $1 ilikuwa 2,730
 
Wachumi wa mchongo akina Mwigulu Nchemba!!
 
Bei zilianza kubadilika kwa kasi sana tangu awamu ya 5, awamu ya 3 na 4 kasi yake ilikuwa ndogo kuliko 5 na 6.
Awamu ya 5 bei zilikuwa juu kwa sababu rais alitaka tujitegemee kwa mapato ya ndani.
Awamu ya 6 vitu vipo juu kwasababu ya myumbo wa uchumi duniani kutokana na vita za Ukraine vs Russia na zile zinazoendelea mashariki ya kati.
 
View: https://m.youtube.com/watch?v=FuAcgpcpjUU&pp=ygUJVVRUIEFtaXMg

Jamaa kaongea layman language tu kuvutia uwekezaji.

Lakini hayo maelezo yake kwa waelewa wa maswala ya finance kufikia hayo malengo anayosema wamefikia as an institution.

Maana yake wana deep knowledge on current cash products on the market, equities and bond market, interests offered, risk associated with investment (capital risks, inflation risks and shortfall risks) and how they go about to get better deals.

Mamlaka ya teuzi ijipange hasa kwenye ngazi za usalama kwa sababu watu kama UTT kufikia malengo yao inahitaji kuondoa inflation risks ili wateja wao wapate faida kwa sasa it Works kwa sababu wanatengeneza faida ya 12% interest earned kwa uwekezaji.

That’s just UTT lakini ili kukuza uchumi things have to change, kuzuia ufisadi kukuza private property (complicated Ila hizo hela wanazompa Bashe kwenye kilimo, wangepewa wafanyakazi kumilika nyumba zina impact kubwa kwenye uchumi).

Get people wenye sifa sahihi hata nyuma ya pazia.

Tupo tulipo watu wengi serikalini hawana uwezo. Sasa sio kwamba nchi aina watu wenye uwezo. Shida ni MaCCM yanateua majizi yenye uzoefu ili waibe vizuri.

Mwigulu, Nehemia na Mafuru hawana hiyo financial literacy ya huyo jamaa kwenye kushauri umma kuhusu personal finance.
 
Back
Top Bottom