SHIBUDA: Nimeichoka CHADEMA! Adai kachoshwa na kusemwa na viongozi wa juu

Let him goo, let him gooo, let him gooooooooo!!! dear children, dear fathers...., let him goooooooo!!(melancholic voice)...by Yvone Chakachaka
Chadema Sio Shibuda, kama anajihisi kachoka kuwepo ndani ya chama aondoke tu aende kule anapo ona kwake ni sahihi na atakua huru
 
Source Jambo CCM aka Jambo Leo

Mbunge wa Maswa Magharibi kupitia CHADEMA bwana John Shibuda kadai kachoka chama chake cha CHADEMA kwa kuwa viongozi wa juu wa chama hicho wamekuwa wanamsema kila mara na hana raha ndani ya chama.

Kwa mawazo yangu angerudi tu CCM mda huu sio kusubiri mpaka mwaka 2015 mwezi wa nanee

tabia na matendo yake ndiyo yanamfanya asemwe, tena awashukuru cdm wamemvumilia sana kwani wangekuwa wameshamng'anya uanachama na angepoteza ubunge kabisa. kwahyo wanamuonya taratibu kama mtu mzima ili endapo alitumwa hadi aone hapamfai kukaa na ajiengue yeye mwenyewe
 
CHADEMA haina uwezo wa kuchukua maamuzi magumu kwa sababu iko zaidi kimaslahi zaidi ya ukombozi.

As long as ruzuku inaingia, lazima wamvumilie Shibuda!
 
Shuibuda tatizo lake kubwa ni njaa na mitego ya kitoto ambayo Chadema wameishitukia. Shibuda anataka wamfukuze Chadema akapate wafuasi kwao watakomuonea huruma. Chadedma wapo Kimya na wanasubiria amalize muda wake wa ubunge then wamteue mtu mwingine.
Sasa kimbembe ni 2015 atashindwa achukueje form. Atahamia CCM na kukuta CCM kuna mtu mwingine na Chadema wataweka mtu mwingine na huo utakuwa ndiyo mwisho wake kisiasa. In short hana issue
 
CCM sio chama cha makapi,mkae nae huko huko au mtoeni kwa mkono kwenye chama cha swahiba yenu ODINGA Kule kenya akamsaidie kujipanga upya,hatutumii condom mara mbili huku.

ccm chama cha wasafi,mr clean. Ccm chama cha oil safi shonza,mwampamba. Ccm,chama kinachoichuikia rushwa, makamanda wa rushwa,jk,lowasa,chenge,ra,jairo... List ni ndefu loh kazi kwerikweri!
 
Nafikili maneno ingekuwa tumeacha kutumia hiyo kitu mara mbili maana mnayemtegemea kwa matusi aka Lusinde alikulia CCM akaende CHADEMA lakini sasa ndo mnamtegemea, si huyo tu bali hata yule jamaa anayefanana na wale wa Gombe aka wa hasira nayeye alikuwa CCM akaenda NCCR Mageuzi leo ndo tegemeo lenu hata mnamtuma sijui kusuluhisha au kuongeza mgogoro wa kidini labda umepoteza uwezo wa kukumbuka mkuu.
CCM sio chama cha makapi,mkae nae huko huko au mtoeni kwa mkono kwenye chama cha swahiba yenu ODINGA Kule kenya akamsaidie kujipanga upya,hatutumii condom mara mbili huku.
 
CCM wenyewe ni mafisadi. Huyu ni mganga njaa tu hana lolote. CHADEMA walifanya makosa makubwa kumpokea huyu ndumilakuwili ili aendelee kuganga njaa kwa kutumia mgongo wa CHADEMA.

Pole sana Shibuda Chadema ina wenyewe ulipotea njia bora urudi CCM.
 
CHADEMA haina uwezo wa kuchukua maamuzi magumu kwa sababu iko zaidi kimaslahi zaidi ya ukombozi.

As long as ruzuku inaingia, lazima wamvumilie Shibuda!
Hiyo maneno si kweli ndugu yangu, ni Chama peke kilichothubutu kutenda wanachokisema angalia madiwani Arusha angalia kina Mtela Mwampamba, kina Shoga CCM hilo lingewezekana katika kipindi cha mfumo wa Chama kimoja lakini kwa sasa haiwezekani wanajuana kwa vilemba.
 
Sasa hao uliowataja unawaona wangeweza kutikisa CHADEMA?

Wenye uwezo wa kutikisa CHADEMA ndio hao mnaowagwaya, akina Zitto, Shibuda n.k.

Haihitaji kufanya sensa kujua kwamba Machadema wanataka Shibuda na Zitto wachinjiwe baharini.

Lakini kwa vile ni chama cha ruzuku, hawathubu kufanya hili sasa hivi.
 
Source Jambo CCM aka Jambo Leo

Mbunge wa Maswa Magharibi kupitia CHADEMA bwana John Shibuda kadai kachoka chama chake cha CHADEMA kwa kuwa viongozi wa juu wa chama hicho wamekuwa wanamsema kila mara na hana raha ndani ya chama.

Kwa mawazo yangu angerudi tu CCM mda huu sio kusubiri mpaka mwaka 2015 mwezi wa nanee

John Magalle Shibuda ni mtu asiyefaa si duniani wala mbinguni; alipokataliwa CCM; akakimbilia chadema wakampokea kwa mikono miwili na kumteua agombee jimbo kupitia CDM, kumbe alikiuwa na agenda ya kuivuruga CDM; akaanza kuiendea CDM kinyume na kuwapiga vijembe viongozi; Shibuda anatakiwa kujua kwamba dumu daima kiendacho hurudi; sasa kakwama analalamika nini? afunge virago aondoke akawangukie CCM wampokee.

It is the end of the road for Shibuda; nenda kajiunge na Shonza na Mwampamba
 
km kweli ni mkweli angeondoka cdm mapema pengine watu wangeelewa single yake,vinginevyo chochote asemacho na atakachokisema 2015 ni nothing
 
Tutampokea yeyote kutoka upinzani kasoro slaa na shibuda kwa kuwa hatuoni kama wanaweza kuwa na jipya sababu tulikua nao na walikua mzigo tu,hatutaki watu wa kizamani tunataka wapya kama mdhamini wa masalia zitto kabwe,chairman mbowe na wengine
Umemsahau na Juliana Shonza
 
Source Jambo CCM aka Jambo Leo

Mbunge wa Maswa Magharibi kupitia CHADEMA bwana John Shibuda kadai kachoka chama chake cha CHADEMA kwa kuwa viongozi wa juu wa chama hicho wamekuwa wanamsema kila mara na hana raha ndani ya chama.

Kwa mawazo yangu angerudi tu CCM mda huu sio kusubiri mpaka mwaka 2015 mwezi wa nanee

hana lolote huyo arudi kwao ccm
 
Naona umeamua kujitoa akili kwa muda ili utoe pumba zako hizi for the sake of lumumba, Vipi kuhusu operation zenu za VUA GAMBA, VUA GWANDA NA VAAA UZALENDO zimeishia wapi? Bila kusahau na ile mke wenu MACUF ya V4C?
maneno yako hayasumbui najua mmeshikwa PABAYA
 
Source Jambo CCM aka Jambo Leo

Mbunge wa Maswa Magharibi kupitia CHADEMA bwana John Shibuda kadai kachoka chama chake cha CHADEMA kwa kuwa viongozi wa juu wa chama hicho wamekuwa wanamsema kila mara na hana raha ndani ya chama.

Kwa mawazo yangu angerudi tu CCM mda huu sio kusubiri mpaka mwaka 2015 mwezi wa nanee

Ni bora arudi magambani CDM iendelee, kila kukicha shibuda, Haiwezekani wau wote waone hafai, kuna tatizo.
 
Pole sana Shibuda Chadema ina wenyewe ulipotea njia bora urudi CCM.

Riz pokea zimwi lenu make lilikutwa kwenye chupa baada ya kuvuliwa na mvuvi baharini akidhani kuna almasi ndani,baada ya kuifungua ile chupa anashangaa kinatoka kiumbe chenye umbo kama mwanadamu japo sio mwanadam, kumbe ni zimwi sasa limekuwa kubwa sana hata namna ya kurudi kwenye ile chupa ni ngumu japo zimwi lenyewe linatamani kurejea ndani ya chupa.
 
Tutampokea yeyote kutoka upinzani kasoro slaa na shibuda kwa kuwa hatuoni kama wanaweza kuwa na jipya sababu tulikua nao na walikua mzigo tu,hatutaki watu wa kizamani tunataka wapya kama mdhamini wa masalia zitto kabwe,chairman mbowe na wengine[/QUOTE

Wewe umedakia siasa kwa mbele, unajua nn kilichomuondoa Slaa CCM, au unasumbulwa na ukereketwa wa Magamba? Dr. SLAA kuliko kwenda CCM bora awe Mgombea Binafsi.
 
Back
Top Bottom