SHIBUDA: Nimeichoka CHADEMA! Adai kachoshwa na kusemwa na viongozi wa juu

Source Jambo CCM aka Jambo Leo

Mbunge wa Maswa Magharibi kupitia CHADEMA bwana John Shibuda kadai kachoka chama chake cha CHADEMA kwa kuwa viongozi wa juu wa chama hicho wamekuwa wanamsema kila mara na hana raha ndani ya chama.

Kwa mawazo yangu angerudi tu CCM mda huu sio kusubiri mpaka mwaka 2015 mwezi wa nanee
#AONDOKE SALAMA SALIMiNI SAFARI NJEMA NDG SHIBUDA UENDE MOJA KWA MOJA MPK AKHERA
 
Shibuda kakosa alichotumwa amebaki kutapatapa na kudai anasemwa!infact nimetokea kumchukia shibuda hasa baada ya kugundua alihusika kuwatesa kina henry kileo na makamanda wengine!alitumwa kuja kuwa virus kwenye chama,ameshindwa ku-infect, anatafuta sympathy!ni gunia la misumari!mnafiki wa kutupwa!
 
Naona msimu wa kukichafua CHADEMA umeanza tena maccm mnawashwa sana mmeleta pandikizi limekosa nafasi sasa mnapika maneno ya kuangamiza
 
Duh Shibuda ni majanga yani hata leo aondoke tungefurahi sana maana huyu Shibudaccm kashindwa kutimiza yale aliyotumwa na Jk
 
Kwani kuna mtu amemshikilia si arudi kwenye chama cha magamba hata leo. CDM haiwezi kukaa na waripokaji!
Source Jambo CCM aka Jambo Leo

Mbunge wa Maswa Magharibi kupitia CHADEMA bwana John Shibuda kadai kachoka chama chake cha CHADEMA kwa kuwa viongozi wa juu wa chama hicho wamekuwa wanamsema kila mara na hana raha ndani ya chama.

Kwa mawazo yangu angerudi tu CCM mda huu sio kusubiri mpaka mwaka 2015 mwezi wa nanee
 
Hongera CHADEMA kwa kumpuuza.Usiombe kupata maumivu ya kupuuzwa,si mchezo!unakuwa kama kuku anayetafuta mahali pa kutaga asipaone.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Shibuda tokaaaa!!!!!! Pepooooooo la MACCM Tokaaaaaa, Gambaa tokaaaaaa!!!!!
Shibudaa a. k. a uharo na makamasiiiiiiii tokaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!
Kudadadadadadadekiiiii kinyesi ndani ya blanketi hichoooooloo!!!!!!
Hata huku Maswa.hatukuhitaji ...Hiloooooo KJ Hilooooooo.
 
alifikiri angefukuzwa ili akigawe chama sasa anaona jamàa wamemignore hivyo lazima ajisikie vibaya,POLE yke.cdm wanaenjoy ruzuku!!
 
AONDOKE ANASUBIRI NINI HUYO MAMLUKI? hata hivyo tumemvumilia sana kwa mambo yake ya kipuuzi! cdm tulishamchoka siku nyingi arudi zake tu kwenye ukoo wa panya alipokulia.sijawahi ona sukuma jinga kama shibuda na limetufedhehesha sana sisi wasukuma."EMBA LYA HE DUHU ELISUKUMA ICHILUCHILU GITI LYI LYANYANA"
 
Ni vizuri ukareport habari kama ilivyo bila kuweka biases zako. Nyie vipi!

Mchumia tumbo huyo alishafutika kabisa CHADEMA na hakuna mtu anayeweza kumajadili kwani watu wako busy na mambo ya msingi, kwanza amechelewa kuondoka kujiunga na wanamipasho wenzie kina Sophia Simba
 
Shibuda uljua viongozi wa cdm hawajakomaa kisiasa, uldhani ungewaendesha pengne kwa faida yako na kwa magamba ambao walikutuma ukigawanye chama. AIBU NA IWE JUU YAKO WEWE USIYE NA HAYA. Tuachie cdm yetu, nguvu ya umma
 
Naomba data za mchango wa shibuda kwa kwa CHADEMA toka awe mbunge kama kuna mwenye nazo...na hasa kwa kuzingatia katiba ya chadema inayomtaka kila mbunge kushiriki kijenga chama kwa hari na mali....

Anasaidia cdm kupata ruzuku kwa kuwa ruzuku kwa vyama iko based kwa idadi ya wabunge. Shibuda ameona hakuna mtu ndani ya CDM ana time naye. Hawamuongelei wala kumsema. Sasa anatafuta ugomvi tu ili waseme na yeye andeleza. CDM walishamjua.
 
Mwenye macho haambiwi tazama;

th
th

th
th

Kwa tabia za Shubuda naamini hata watoto wake na mkewe wanamsema! Ni NDUMI LA KUWILI WA KUPINDUKIA!
Hata CCM walimchoka na sidhani kama kuna chama kitakaa kimpokee NDUMI LA KUWILI huyu kwani hata CHADEMA wamemvumilia mno!

Kuna msemo usemao kuwa 'ukiwa mnafiki ujanani basi ukiwa mzee utakuwa MWANGA na Shibuda kwa umri wake sasa ni MWANGA.:frusty:
 
Source Jambo CCM aka Jambo Leo

Mbunge wa Maswa Magharibi kupitia CHADEMA bwana John Shibuda kadai kachoka chama chake cha CHADEMA kwa kuwa viongozi wa juu wa chama hicho wamekuwa wanamsema kila mara na hana raha ndani ya chama.

Kwa mawazo yangu angerudi tu CCM mda huu sio kusubiri mpaka mwaka 2015 mwezi wa nanee

Muda umefika tutajua tu nani kamchoka nani na nani kachokwa na nani wananchi wapo na wanaona
 
Shibuda tokaaaa!!!!!! Pepooooooo la MACCM Tokaaaaaa, Gambaa tokaaaaaa!!!!!
Shibudaa a. k. a uharo na makamasiiiiiiii tokaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!
Kudadadadadadadekiiiii kinyesi ndani ya blanketi hichoooooloo!!!!!!
Hata huku Maswa.hatukuhitaji ...Hiloooooo KJ Hilooooooo.

viroba noma

524507_278508482284069_972988370_n.jpg
 
Back
Top Bottom