Shibuda na usaliti wake"

MwangwaJr2

Member
Jun 29, 2011
55
9
Habarin wanajamii wenzangu mwenzenu nmekerwa na kitendo cha mh shibuda mbunge wa maswa kwa tiketi ya chadema kutounga mkono sera ya chama chake kuhusu posho kwangu mm namwona kama msaliti ,ndumilakuwili,si mzalendo wa kwel pia mlafi kwan ameona hatatosheka na mshahara wake alafu nna mashaka na msimamo wake wa upinzan dhid ya serikali ya ccm huyu tuwe naye macho anaweza kuwa mamluki wa serikali ya ccm naombeni comments zenu kuhusu hili jambo jamani;
 
Nenda kwenye topic inayosema SHIBUDA ASHANGAA DEMOKRASIA NDANI YA CHADEMA na utakuta mjadala umepamba moto huko kuhusiana na swali kama hili lako
 
Shibuda naomba atupiliwe mbali kabisa,hafai,ni kama vile katumwa kuiua cdm!lazima chama kichukue maamuzi magumu kabisa kuhusu Shibuda,ikiwezekana afutwe uanachama
 
Habarin wanajamii wenzangu mwenzenu nmekerwa na kitendo cha mh shibuda mbunge wa maswa kwa tiketi ya chadema kutounga mkono sera ya chama chake kuhusu posho kwangu mm namwona kama msaliti ,ndumilakuwili,si mzalendo wa kwel pia mlafi kwan ameona hatatosheka na mshahara wake alafu nna mashaka na msimamo wake wa upinzan dhid ya serikali ya ccm huyu tuwe naye macho anaweza kuwa mamluki wa serikali ya ccm naombeni comments zenu kuhusu hili jambo jamani;
Hatumhitaji!!! vua uanachama haraka akahudumie magamba anakotaka.
 
Kwa kimombo mtu mwenye tabia kama Shibuda anaitwa "Fifth Columnist". Katika jeshi anapigwa risasi na kufilia mbali. Shibuda roho yake iko CCM na kiwiliwili chake kiko Chadema
 
Jamani chama hakiwezi kuwa kama "nyumbu" wa porini ambapo ukimbia kwa muelekeo mmoja.Shibuda kama shibuda ana freedom of expression.Haiwezekani as a human being kufikiri sawa,vile vile hilo la posho kama ni kauli ya chama lilipigiwa kura ama kulikuwa na kikao kufikia kauli hiyo?.Yeye atajuaje kama maamuzi yalifanyika through "kitchen cabinet" ama ki "kamkunji"?

Chama bila kutofautiana kimitazamo sawa sawa na kanisa/msikiti ama kampuni ya mtu binafsi.
 
Back
Top Bottom