Sheria

dilu

New Member
May 16, 2011
4
2
Nashindwa bkuilewa tume ambayo iliundwa na waziri kuchunguza kifo cha aliyekuwa,mwandishi wa habari wa chanel ten,iliunndwa ili baada ya uchunguzi itoe matokeo ya uchunguzi wao,lakini badala yake imechunguza wanashindwa kutoa matokeo ya uchunguzi eti,shauri lipo mahakamani,sasa kulikuwa na sababu gani ya kupoteza gharama na muda kwasababu ya kufanya uchunguzi,ambao hauna majibu ya uchunguzi wao.
 
Back
Top Bottom