Jaxx
Senior Member
- Mar 22, 2011
- 129
- 28
Kwa kumbukumbu zangu ni Muswaada Binafsi uliwahi kupita ni mmoja tu wa Bro Lau Masha wa kutumia picha ya Karume kwenye Pesa ya Tanzania; Pamoja na Miswaada Lukuki inayopelekwa na Wabunge kutupiliwa mbali kwenye kapu la takataka (Dustbin) la Mh Speaker,Kwa maana hii naona hakuna haja tangu miaka 50 ya Uhuru in maana hakuna Muswaada ulioletwa kwa speaker wenye maslahi ya taifa letu?, Au wabunge wetu hawana ufahamu wa kuandaa miswaada?, Au Serikali haina uwezo wa kuchambua miswaada mipya maana imezoea copy & paste kama ile ya katiba kutoka Kenya?, Au wataalamu wa mambo ya Sheria Serikalini wako shallow?, Au ni uoga wa Serikali kuonekana kuwa haitimizi wajibu wake wa kupeleka misawaada Bungeni?,
Kimsingi cpati jibu lolote hapo na nikiamua hayo yote yawe majibu basi naona hatuhitaji Sheria hiyo?
Ahsanteni, ngoja nipiganie daladala nirudi kwetu nikanywe Ghahawa na Kashata 2 nilale!!!
Kimsingi cpati jibu lolote hapo na nikiamua hayo yote yawe majibu basi naona hatuhitaji Sheria hiyo?
Ahsanteni, ngoja nipiganie daladala nirudi kwetu nikanywe Ghahawa na Kashata 2 nilale!!!