Sheria mpya, Jeshi la zima moto na uokoaji kupewa silaha za kazi gani

Magaidi mfano wamelipua sehemu na bomu na moto unawaka na wanawamalizia watu na risasi kwa situation hii watu wa zimamoto na uokoaji waje mikono mitupu
Kwa hiyo watakuja jeshi la zimamoto tu ili wapigane na magaidi na kuzima na Moto kwa wakati mmoja.kazi ya majeshi mengine Ni nini?. Akili zingine shida sana. ndiyo maana waliotuzidi akili mnawaita mabeberu
 
Wananchi baadhi mnaamini kila jambo Serikali inakosea, imani hii ni vigumu kuwaaminisha kwamba kuna mambo Serikali inafanya vizuri mno tena kwa sababu za msingi kabisa.

Mambo kama haya ya Zimamoto na Uokoaji hayahusiani na siasa za ccm na chadema, haya ni mambo ya usalama wa nchi, nivema mkaacha ujuaji.

Mpaka kuona taasisi inapewa Silaha ujue kuna sababu nyingi tu tena za msingi.


Sent from my mm using JamiiForums mobile app
I'm sorry but una uelewa mdogo sana..
 
Habari wakuu
Bunge liko katika mchakato wa kupitisha muswada wa sheria mpya ambayo itaisimika jeshi la zima moto na uokoaji kuwa jeshi kamili
Sheria hiyo inaelekeza kuwa jeshi hilo litapewa silaha (bunduki) zake kama yalivyo majeshi mengine hapa nchini

maswali ya kujiuliza, Hivi katika shughuli za kuzima moto na uokoaji kunahitajika silaha kwa matumizi gani?

Serikali haioni inaenda kuongeza gharama kwa kununua silaha kwa jeshi la zimamoto?

Zimamoto inahitaji zaidi vifaa vya kuzimia moto, kama magari na fire extinguishing tools zote
Kuna wajanja wachache wametengeneza dili la kupiga pesa kupitia Jeshi la zimamoto mpigie sele 0715132277 au 0787132277 anazo taarifa zote za mjini atakueleza jinsi wanavyokwenda kupiga pesa huko zimamoto
 
Kuna wajanja wachache wametengeneza dili la kupiga pesa kupitia Jeshi la zimamoto mpigie sele 0715132277 au 0787132277 anazo taarifa zote za mjini atakueleza jinsi wanavyokwenda kupiga pesa huko zimamoto
Wewe umemuamini vipi sele usiami watalamu WA maswala ya kiusalama .kila kitu Sisi tunaona tunaibiwa
 
Silaha zitasaidia kudhibiti vibaka. Wakati mwengine wanaotuongoza unashindwa kujua wanawaza nini ? Jaribu kuangalia ubora wa vifaa vya zimamoto kwanza!!!! Hizo silaha ni patel yupi atapewa tenda?

Huwezi jua pengine wameona makosa kule gine. Zimanimoto wa gine wangekuwa na silaha yawezekana wangezima liletukio.
Wajanja wachache wanapiga pesa huko kwenye kuagiza Bunduki kuandaa jeshi siri zote anazo sele na kibwana wapigie simu watakupa story zote
 
Wewe umemuamini vipi sele usiami watalamu WA maswala ya kiusalama .kila kitu Sisi tunaona tunaibiwa
Sele na kibwana ni rafiki wa watengeneza mchongo wanajua ukweli wote wapigie simu waulize watakupa ukweli
 
Zimamoto ni fani inayohitaji umakini sana na uweledi wa hali ya juu. Wakitakiwa walinde pia amani basi itawashinda. Pili haina mantik. Hawa wataingiaje kwenye maeneo yenye moto mkali huku wamebeba silaha? Kama hii taarifa ni ya kweli basi Bunge letu litakuwa limefikia a new low.

Amandla...
Chadema kukosekana Bungeni imepelekea bunge kufanya vitu vya ajabu ajabu badala ya kununua magari ya zima moto wameenda kununua Bunduki ni ufisadi mkubwa
 
My friend you are not serious ulishawahi kusikia kitu kinaitwa specialization? Hiyo ni moja ya maendeleo ya mwanadamu, huwezi kufanya vitu vingi kwa ufasaha lazima uwe na ubobezi, kwa huo urojo wako sasa nadhani tutahitaji, jeshi la waandishi wa habari, jeshi la hospital, jeshi la wakulima na jeshi la msalaba mwekundu na wote wapewe silaha kwani wote mchango wao ni muhimu vitani! Sasa iko wapi kazi ya jeshi la wananchi? Iko wapi kazi ya jeshi la polisi? Acheni kuturudisha zama za kati za mawe... Dunia haiendi hivi na something is wrong with we Tanzanian uwezo wetu wakufikiri umeshuka sana na ndio maana tunakubaliana na kila urojo unaopitishwa, i am very concerned, seriously?
Haya ndiyo Athari za kuwa na Bunge la chama kimoja CCM
 
-Badala ya kufikiria kununua silaha kwa ajili ya Majukumu mspya ya Jeshi la zimamoto:
-Serikali itenge bajeti kubwa ya kununulia vitendea kazi kwa Jeshi la zimamoto wafanye kazi zao kwa weledi.
-Zimamoto wajikite kwenye kutoa mafunzo/elimu na fire extinguisher kwa wananchi (wenye nyumba wote),bure ili ziwasaidie wakati wa matukio.
-Mswada huo,hauna tija kwa sasa hivi,bali utaongeza gharama za utekelezaji,labda Kama wizara itakuja na takwimu za kuonyesha ukubwa wa tatizo hilo hapa nchini kwa hivi sasa.
Mpigie sele na kibwana 0715132277 au 0787132277 wanazo siri zote watakupa story
 
Nikuulize, ukikuta gari limepinduka huwa askari polisi wanalinda sehemu hiyo kwanini?

Kwa mfano ile ajali ya gari la mafuta iliyoua watu Morogoro unakumbuka kwamba askari walilaumiwa kwa kutolinda eneo lile ili wananchi wasivamie?

Soma upya jina la Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, utaona wanahitaji kujilinda na kulinda watu wakati wanapotekeleza shughuli za kuzima moto na kuokoa watu.
Yaan zimamoto wafike bila polisi kuwahi pia ndicho unachojaribu kusema.

Haiwezekeni ufanye mambo ya uokoaji na kulinda mali wakati kuna chomba cha kufanya huo wajibu.

Kwanza head count ya zimamoto tu shida.

Hapo hujatazama changamoto za vifaa vyao leo unawaongezea mabunduki nayo yanunuliwe.
 
Yaan zimamoto wafike bila polisi kuwahi pia ndicho unachojaribu kusema.

Haiwezekeni ufanye mambo ya uokoaji na kulinda mali wakati kuna chomba cha kufanya huo wajibu.

Kwanza head count ya zimamoto tu shida.

Hapo hujatazama changamoto za vifaa vyao leo unawaongezea mabunduki nayo yanunuliwe.
Kuna wajanja wachache wamekula tenda za kuleta Bunduki ndiyo wamejipenyeza huko Bungeni
 
Litakuwa jeshi la akiba wakati wa uchaguzi na pale ambapo polisi watazidiwa kuwadhibiti vyama vya upinzani. Kabla ya jeshi kuitwa, wataongezwa hawa wa zimamoto, ukizingatia hata sare (uniform) zao hazitofautiani sana na zile za Kikosi cha Kuzuia Fujo(FFU).
 
Sasa hii model wameichukua wapi ? Ya kikosi cha kuzima moto kiwe na silaha za moto ukistaajabu ya MUSSA utayaona ya CCM kweli .

Yule Prof ASSAD alikuwa sawa kabisa yule mzee ana style tumuweki kwenye GENIUS BOOK kwa kweli aliweza kuinyambua Serikali Ccm na watumishi wake pamoja na WABUNGE walivyo.
 
Back
Top Bottom