Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 17,111
- 18,511
Achana na huyo lazima atakuwa nyumbu anataka kupora Mali wakati wa majanga kisa zimamoto hawana silaha.Nikuulize, ukikuta gari limepinduka huwa askari polisi wanalinda sehemu hiyo kwanini?
Kwa mfano ile ajali ya gari la mafuta iliyoua watu Morogoro unakumbuka kwamba askari walilaumiwa kwa kutolinda eneo lile ili wananchi wasivamie?
Soma upya jina la Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, utaona wanahitaji kujilinda na kulinda watu wakati wanapotekeleza shughuli za kuzima moto na kuokoa watu.