Sheria Hii ikoje?

De Javu

JF-Expert Member
May 5, 2010
264
33
Katika pitia yangu ya magazeti ya bongo nimeona picha ya mtu aliejeruhiwa katika ya ajali ya gari, chini yake kuna maelezo kua jamaa anakimbizwa Polisi kupatiwa cheti ili akatibiwe....... Hivi sheria hii ni sahihi kweli? Unapokua katika hali ya maumivu badala ya kukimbilia kupata matibabu lazima uripoti Polisi kwanza......Jee hii ni sawa?
Jadili/Changia..................!

 
Back
Top Bottom