Sherehe za Muungano bila Amiri Jeshi Mkuu ni sawa?

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Oct 2, 2020
4,086
6,568
Kama ibara ya kwanza ya katiba ya JMT inavyotanabaisha ni kuwa Tanzania ni dola huru ambayo ni jamhuri ya muungano.

Jamhuri ya muungano wa Tanzania ilizaliwa mwaka 1964 siku ya tarehe 26 mwezi wa nne.

Ibara ya 33 ya katiba ya JMT inatanabisha wazi kuwa rais ndie mkuu wa nchi na amiri jeshi mkuu.

Kusherehekea siku kuu ya kuzaliwa JMT huku mkuu wa nchi hayupo ni sawa kweli?

Hii inaleta picha gani?
 
Mkuu wa nchi huwezi kuacha kuhudhuria sherehe kama hii kisa tu upo Usa unazindua filamu.

Hilo la kuzindua filamu ni jambo tofauti kidogo na hiyo sherehe iliyopo miaka yote.

Hakuna lolote jipya kwenye hiyo sherehe boss ya kukwazika rais kutokuwepo.

Viongozi wengine waliopo wanaweza kusimamia maadhimisho ya hiyo sherehe bila tatizo lolote kwani nothing special.

Ingekuwa ni msiba wa kitaifa hapo wangalau ungekuwa na hoja, na sio hiyo kukagua gwaride na kutoa hotuba zinazojirudiarudia.
 
Nauliza;
Hivi kunakuwa na wengine wasiokuwa na uwezo kikatiba Kuamrisha Jeshi?

Makamu, Mh Mpango akivaa magwanda hawezi kama ambavyo ameachiwa kijiti cha mhimili wa Raisi kuamrisha na kufanya shamrashamra?
 
Kama ibara ya kwanza ya katiba ya JMT inavyotanabaisha ni kuwa Tanzania ni dola huru ambayo ni jamhuri ya muungano.

Jamhuri ya muungano wa Tanzania ilizaliwa mwaka 1964 siku ya tarehe 26 mwezi wa nne.

Ibara ya 33 ya katiba ya JMT inatanabisha wazi kuwa rais ndie mkuu wa nchi na amiri jeshi mkuu.

Kusherehekea siku kuu ya kuzaliwa JMT huku mkuu wa nchi hayupo ni sawa kweli?

Hii inaleta picha gani?
Muongozo umetolewa
 
Hayo maadhimisho kwa sasa hayana mvuto

Maraisi wote wanatoka upande moja 'Zanzibar', hata tafsiri ya kuungana haionekani
 
Kama ibara ya kwanza ya katiba ya JMT inavyotanabaisha ni kuwa Tanzania ni dola huru ambayo ni jamhuri ya muungano.

Jamhuri ya muungano wa Tanzania ilizaliwa mwaka 1964 siku ya tarehe 26 mwezi wa nne.

Ibara ya 33 ya katiba ya JMT inatanabisha wazi kuwa rais ndie mkuu wa nchi na amiri jeshi mkuu.

Kusherehekea siku kuu ya kuzaliwa JMT huku mkuu wa nchi hayupo ni sawa kweli?

Hii inaleta picha gani?
Mbona wakati wa Magu hatukusherehekea kabisa?
 
Back
Top Bottom