mjombo's
JF-Expert Member
- Oct 21, 2011
- 494
- 83
Baada ya ZITO KABWE kusimamia kwa nguvu hoja mbalimabli zilizoletwa na kamati za bunge na michango ya wabunge ambayo ilikua ikisikitika sana juu ya ufujaji wa fedha za uma kutokana na riport ya CAG ambayo imeonyesha maovu mengi tu katika matumiz ya pesa hizo za umma, ZITO KABWE (MB), Aliinuka na kuanza kuwasainisha wabunge wote kuaproove kutokuwa na imani na waziri mkubwa kitu ambacho kimetia kimbunga cha hofu mpaka ikulu na mkuu wa magamba kuamua kuiomba cc ione km kuna haja ya haraka ya kupangua baraza lake kwa sababu matokeo ya ZITO yangekua diverstative and destructive to the government rather than shame kwa jakaya na baraza lake, so kwa kimbunga hiki kilichoamshwa na ZITO (CDM), ni vizuri huyu jamaa akafanyiwa celemony kubwa tuu ya kumpongeza kwa mchango wake wa kuinusuru nchi hii from the burrial na mgeni rasmi awe CAG ndugu LUDOVICK LUTO kwa kazi yake isiyomuogopa mtu na cheo chake. nawasilisha:israel::israel::director::israel::bange::bange::violin::violin: