Sherehe ya zito kabwe

mjombo's

JF-Expert Member
Oct 21, 2011
494
83
Baada ya ZITO KABWE kusimamia kwa nguvu hoja mbalimabli zilizoletwa na kamati za bunge na michango ya wabunge ambayo ilikua ikisikitika sana juu ya ufujaji wa fedha za uma kutokana na riport ya CAG ambayo imeonyesha maovu mengi tu katika matumiz ya pesa hizo za umma, ZITO KABWE (MB), Aliinuka na kuanza kuwasainisha wabunge wote kuaproove kutokuwa na imani na waziri mkubwa kitu ambacho kimetia kimbunga cha hofu mpaka ikulu na mkuu wa magamba kuamua kuiomba cc ione km kuna haja ya haraka ya kupangua baraza lake kwa sababu matokeo ya ZITO yangekua diverstative and destructive to the government rather than shame kwa jakaya na baraza lake, so kwa kimbunga hiki kilichoamshwa na ZITO (CDM), ni vizuri huyu jamaa akafanyiwa celemony kubwa tuu ya kumpongeza kwa mchango wake wa kuinusuru nchi hii from the burrial na mgeni rasmi awe CAG ndugu LUDOVICK LUTO kwa kazi yake isiyomuogopa mtu na cheo chake. nawasilisha:israel::israel::director::israel::bange::bange::violin::violin:
 
Umewasilisha nini UTUMBO?

ur idiot mkuu,wewe huna mchango ktk maendeleo ya taifa hata wa mawazo kupitia humu..realy a hate u guy..back 2 the motion..NI KWAMBA zitto wa kushukuriwa na Chadema yake ila genge la pili na la mwisho la watafuna nchi linaingia so dawa ni kuwatosa 2015,ila nimeeleza mara nyingi kuwa chadema imepata singo tamu coz whatever wavunje baraza ama wasivunje mambo ishaoza.
 
ZITO na chama chake cha Magwanda ni sawa na ng'ombe asiye na bei sokoni, eti ndo unaleta hoja kwa ajili ya kufurahia ukilaza wa zito, shame be upon you.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
 
Mkuu,
Huyo ni mpemba kila siku tunamuuliza mambo ya Tanganyika yanamuhusu nini hasemi!!

BTW, sidhani kama kuna haja ya sherehe hapa Zitto ametimiza wajibu wake kam kiongozi anayetaka accountability!!
 
ZITO na chama chake cha Magwanda ni sawa na ng'ombe asiye na bei sokoni, eti ndo unaleta hoja kwa ajili ya kufurahia ukilaza wa zito, shame be upon you.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
Ni kimbunga, kitapita tu by jinga kuu la CCM.
 
Baada ya ZITO KABWE kusimamia kwa nguvu hoja mbalimabli zilizoletwa na kamati za bunge na michango ya wabunge ambayo ilikua ikisikitika sana juu ya ufujaji wa fedha za uma kutokana na riport ya CAG ambayo imeonyesha maovu mengi tu katika matumiz ya pesa hizo za umma, ZITO KABWE (MB), Aliinuka na kuanza kuwasainisha wabunge wote kuaproove kutokuwa na imani na waziri mkubwa kitu ambacho kimetia kimbunga cha hofu mpaka ikulu na mkuu wa magamba kuamua kuiomba cc ione km kuna haja ya haraka ya kupangua baraza lake kwa sababu matokeo ya ZITO yangekua diverstative and destructive to the government rather than shame kwa jakaya na baraza lake, so kwa kimbunga hiki kilichoamshwa na ZITO (CDM), ni vizuri huyu jamaa akafanyiwa celemony kubwa tuu ya kumpongeza kwa mchango wake wa kuinusuru nchi hii from the burrial na mgeni rasmi awe CAG ndugu LUDOVICK LUTO kwa kazi yake isiyomuogopa mtu na cheo chake. nawasilisha:israel::israel::director::israel::bange::bange::violin::violin:

Hoja ya Zito iliibuliwa na Mh Tundu Lissu........nimesikiliza kwa makini lakini sijasikia bado mbunge aliyetoa hoja ya kutokuwa na imani na waziri mkuu
 
Na mimi sijasikia bado CC ya CCM ikiagiza hao wezi wakamatwe na kufunguliwa mashtaka
 
Baada ya ZITO KABWE kusimamia kwa nguvu hoja mbalimabli zilizoletwa na kamati za bunge na michango ya wabunge ambayo ilikua ikisikitika sana juu ya ufujaji wa fedha za uma kutokana na riport ya CAG ambayo imeonyesha maovu mengi tu katika matumiz ya pesa hizo za umma, ZITO KABWE (MB), Aliinuka na kuanza kuwasainisha wabunge wote kuaproove kutokuwa na imani na waziri mkubwa kitu ambacho kimetia kimbunga cha hofu mpaka ikulu na mkuu wa magamba kuamua kuiomba cc ione km kuna haja ya haraka ya kupangua baraza lake kwa sababu matokeo ya ZITO yangekua diverstative and destructive to the government rather than shame kwa jakaya na baraza lake, so kwa kimbunga hiki kilichoamshwa na ZITO (CDM), ni vizuri huyu jamaa akafanyiwa celemony kubwa tuu ya kumpongeza kwa mchango wake wa kuinusuru nchi hii from the burrial na mgeni rasmi awe CAG ndugu LUDOVICK LUTO kwa kazi yake isiyomuogopa mtu na cheo chake. nawasilisha:israel::israel::director::israel::bange::bange::violin::violin:

Umepotoka mkuu
 
Swala si kutolewa kwenye nyadhifa zao tu, bali kuwapeleka mahakamani na kuwafilisi...

Tunaishukuru sana CDM na Viongozi wake kwa kuibua mambo haya ya Ufisadi.
 
Zitto katimiza wajubu wake, but sherehe zaidi itakuwa vyema kama zitafanyika 2015 baada ya kuchukua nchi. Hongera zitto na CDM wote pamoja na wabunge wa ccm walosimamia hii hoja.
 
Hayo ni majukumu yake kuifinya masikio magamba ili yajue kuwa 2po macho na ha2taki kupelekwa pelekwa kama mazombi!! Big up mheshimiwa Zitto! Take care wasije kukuwekea sumu!
 
Mhe. Zitto hapendi mambo ya dhifa zisizo na tija. Yeye anahangaikia walala hoi ambao kila siku kwao ni afadhali ya jana!
 
Back
Top Bottom