kijembeee JF-Expert Member Jun 6, 2012 409 105 Jun 18, 2012 #2 watu wamechoka na maisha, uyo mtoto mwenye traksut ya lightblue sijui kafikaje apo,au yupo ndotoni
MadameX JF-Expert Member Dec 27, 2009 7,792 3,848 Jun 19, 2012 #3 Dunia uwanja wa fujo, biharusi afanana na Diamond
kizoleo Member Apr 19, 2012 79 8 Jun 19, 2012 #4 MadameX said: Dunia uwanja wa fujo, biharusi afanana na Diamond Click to expand... aiseeh! umenifilisi!!
MadameX said: Dunia uwanja wa fujo, biharusi afanana na Diamond Click to expand... aiseeh! umenifilisi!!
doup JF-Expert Member Feb 26, 2009 2,346 2,151 Jun 19, 2012 #6 nani muoaji na muolewaji? wate ni wanamme
SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member Feb 14, 2012 987 220 Jun 19, 2012 #8 Sio harusi hiyo Mkuu Mbuzi, Ni muvi iitwayo MAN DOGG, waasi wanatumia watoto vitani huko Liberia. Hilo shela Diamond alipora tu.
Sio harusi hiyo Mkuu Mbuzi, Ni muvi iitwayo MAN DOGG, waasi wanatumia watoto vitani huko Liberia. Hilo shela Diamond alipora tu.
mathematics JF-Expert Member Feb 21, 2012 3,323 1,105 Jun 20, 2012 #10 hiyo sehemu gani Mbuzi Mzee? Sherehe na majambia, bunduki mikononi wapi na wapi ,hiyo kiboko! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
N Nasolwa JF-Expert Member Jun 12, 2008 1,827 297 Jun 20, 2012 #11 Hapa ikitokea kutokuelewana kidogo tu wanakutoa roho chap chap