Hasa kama umeolewa lazima uoneshe mfano wa ushirikiano pamoja na jamaa zako....lazima muukate huo mlima kisawasawa ili wakwe wawape maksi!!!!
Ukute kabinti kenyewe kametoka royal family, bugger na sausage za kutosha halafu ndo anakuja kuolewa kwenye primitive family kama hivi ptuuuuh wacha hayo mapenzi ya dhati tuyaangalie tu kwenye tamthiliya za kifilipino!
Halfu ukute Kamati ya Vinywaji imeandaa TOGWA kama kinywaji rasmi.......
Mkuu ngoja nipambane na mwenye Library, nikifanikiwa utaziona tu mkuu...
Burger ni chakula cha kimasikini sana.Ukute kabinti kenyewe kametoka royal family, bugger na sausage za kutosha halafu ndo anakuja kuolewa kwenye primitive family kama hivi ptuuuuh wacha hayo mapenzi ya dhati tuyaangalie tu kwenye tamthiliya za kifilipino!