Shemeji kumfulia chupi mumeo kosa???

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Duniani kuna mambo
niko lunch moja hapa karibu na sheraton ya mwanyamala dada mmoja anasikika akimwambia
mdogo mtu we kama uwezi kumtunza si tutakusaidia na kama uji mbona nimeshamfulia sana mumeo
chupi we unanihisi leo lo!!!yaalaah nkaona yawezekana sie tulieweka mashemeji yawezekana
tukaponja nini siku moja....jamani unakula kuku na yai lake ni halali kweli???
 
ah ndio mnayoyataka hayo...tamaa kibao alafu wewe ndio kwanza waleta hapo hapo nyumbani . tuwe makini jamani watu wenyewe sie siku hizi wote wananii sio wanawake sio wanaume
 
wanaume hawabebeki umfulie chupi usimfulie akiamua kupiga mzigo anapiga tu, mbona huko barabarani wanatongoza huko nako nani anawafulia chupi? tabia haina dawa.
 
Nasikia TGMP/ na TAMWA wamepiga marufuku wanawake kuwafulia chupi waume zao eti ni kinyume na haki za msingi za binadamu mwanamke
 
kumfulia chupi maana yake kufanya naye tendo la ndoa kama mume na mke na siyo kuloweka chupi kwenye komoa na kuipikichapikicha!
 
Nionavyo mimi chupi ni nguo tu kama shati,soksi,leso,kapelo and the alike!Shem akinifulia poa tu.
 
Duniani kuna mambo
niko lunch moja hapa karibu na sheraton ya mwanyamala dada mmoja anasikika akimwambia
mdogo mtu we kama uwezi kumtunza si tutakusaidia na kama uji mbona nimeshamfulia sana mumeo
chupi we unanihisi leo lo!!!yaalaah nkaona yawezekana sie tulieweka mashemeji yawezekana
tukaponja nini siku moja....jamani unakula kuku na yai lake ni halali kweli???

do you believe in succession plan? hiyo ni best example yake shem anaanza majukumu kidogo dogo kwa kufua vichupi mwisho anamalizia kila kitu mbona mambo ya kawaida hayo??
 
we unakuta shemeji mwenyewe anakutega basi inabidi umalizane nae tu. Ila kuhusu kufuliana chupi,inategemea mazoea yenu na shem wako. Nalog off
 
hata mm napinga hili la chupi kufuliwa na mke
ujinga mtupu kwann usifue bafuni ukioga hata soksi fua mwenyewe
wanawake acheni kuwanyenyekea midume zembe,wote mko kitu kimoja ya nn ww kuwa kama punda wake???
zama za miaka 50 imepita.
Wanaume wavivu jamani! Hadi chupi lako unashndwa kufua hadi ufuliwe. Khaa!
 
hata mm napinga hili la chupi kufuliwa na mke
ujinga mtupu kwann usifue bafuni ukioga hata soksi fua mwenyewe
wanawake acheni kuwanyenyekea midume zembe,wote mko kitu kimoja ya nn ww kuwa kama punda wake???
zama za miaka 50 imepita.

sante, tena unakuta huyo mwanaume kabla hajaoa kazi zote alikuwa anafanya, akishaoa anataka aishi kisultani kufuliwa hadi viziba vikojoleo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom