Shemeji kumfulia chupi mumeo kosa???

duh hapa sijui ni nani hatimizi wajibu au nani atalaumiwa kwa matokeo??
 
hata mm napinga hili la chupi kufuliwa na mke
ujinga mtupu kwann usifue bafuni ukioga hata soksi fua mwenyewe
wanawake acheni kuwanyenyekea midume zembe,wote mko kitu kimoja ya nn ww kuwa kama punda wake???
zama za miaka 50 imepita.

Haya maneno yaishie humu humu, na wadada walio/wasio oolewa msiijaribu hii nyumbani kamwe. Kama wewe ni mwanaume ni heri, ila kama ni mwanamke usijaribu. Ukitaka kuolewa utaenda kitchen parti utaambiwa. Wanawake walioolewa naombeni mchangie practice na sio theory kwa faida ya wote.
Mimi kama mwanaume niliyeoa, sifui chupi zangu. Ila huwa ikitokea nikafua nafua zote na za mama.
 
hata mm napinga hili la chupi kufuliwa na mke
ujinga mtupu kwann usifue bafuni ukioga hata soksi fua mwenyewe
wanawake acheni kuwanyenyekea midume zembe,wote mko kitu kimoja ya nn ww kuwa kama punda wake???
Zama za miaka 50 imepita.

ww sijui kama una mume/mke na kwako nadhani kazi itakuwa ngumu kuowa/kuolewa
 
Wanaume wavivu jamani! Hadi chupi lako unashndwa kufua hadi ufuliwe. Khaa!

jaman wadada wakati mwingine ndo wanatusababisha tuwe wavivu!!! kwa mfano me mchumba wangu aliwahi kunimind eti ''kwa nini umefua chupi zako kwani me siwezi?''
 
Mi nadhani chupi ni nguo binafsi sana. Kimsingi inakufaa wewe mwenye nayo zaidi ya hapo labda mwenza wako.Full stop!
 
uzuri na ubaya wa wanawake ni kwamba 'you can play with their brains the way you wish'. Leo anakwambia yuko engaged, kesho anakwambia jamaa yake anamsaliti, next time anakuomba utoke naye, then anaomba umsindikize kwenye sendoff ya rafiki yake, halafu anaanza kukulaumu kwa nini umepunguza mawasiliano kwa kwani anajisikia lonely mwishowe anadai angekuwa na furaha ya mapenzi angepata bf kama wewe. Lastly mtu unajibebea 'mzigo' kama huna akili nzuri. As a conlusion, anakuomba uwe mstaarabu ktk wizi wenu kwani jamaa yake amejirudi na wako pamoja. so she needs some sort of respect.
 
kwa mwanamke mwenye akili sawia, kufua chupi haiwezi kuwa issue kabisa ktk mahusiano. Mbona wanawake wanapokea 'makubwa' kutoka kwa wanaume, chupi kitu gani bwana. Unakataa kufua chupi ya mpenzio lakini unakunywa naniiiiiiiiiiiii, ukiangalia hapo si ujinga tu.
 
jaman wadada wakati mwingine ndo wanatusababisha tuwe wavivu!!! kwa mfano me mchumba wangu aliwahi kunimind eti ''kwa nini umefua chupi zako kwani me siwezi?''

Mkuu huyo alikuwa ana kuenjoy tu uone kuwa anakujali. Hebu jiulize sasa hivi kama umeshamuoa, anajisikiaje akikukuta umempikia? anakusema au anachekelea?
 
Wanaume wavivu jamani! Hadi chupi lako unashndwa kufua hadi ufuliwe. Khaa!

mwingine unakuta katoka kugongesha huko halafu akifika anakimbilia bafuni then chupi yake anaacha hapo ifuliwe na mkewe, dah!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom