Shemeji kamfumania halafu………….

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,810
15,398
Hebu tuchukulie kwamba, unaye shemeji yako, yaani mdogo wa mke wako, ambaye ni mwanamke mnayeishi naye nyumbani. Inatokea kwamba, huyu binti amekufumania na mwanamke mwingine.

Wewe unamwomba kwamba, asimwambie dada yake, yaani mkeo. Anakubali baada ya kumbembeleza sana. Lakini, pia anakupa masharti kwamba, ili asiseme kuhusu fumanizi hilo, inabidi uwe upande wake kila dada yake (Mkeo) akiwa anamfokea, kumlaumu au kufanyia lolote baya. Je hebu niambie , kama ni wewe ungefanya nini kwenye mazingira kama haya?

ah hapo tena pagumu...ila kwa sababu yeye kashika mpini itabidi nikubaliane tuu....maana akivuta mie ndio nitakaye umia. pia nitaanza tafuta njia yakumtoa hapo home.

ha ha ha... Infidelity to the maximum... kweli ipo to stay!!!

Na a mwanaume yeyote ambae atawekwa katika hio position
na akakubali tayari huyo bibie anakua ni mke mdogo... maana
you have an understanding ambayo hata the wife haoni ndani...

Hebu tuchukulie kwamba, unaye shemeji yako, yaani mdogo wa mke wako, ambaye ni mwanamke mnayeishi naye nyumbani. Inatokea kwamba, huyu binti amekufumania na mwanamke mwingine.

Wewe unamwomba kwamba, asimwambie dada yake, yaani mkeo. Anakubali baada ya kumbembeleza sana. Lakini, pia anakupa masharti kwamba, ili asiseme kuhusu fumanizi hilo, inabidi uwe upande wake kila dada yake (Mkeo) akiwa anamfokea, kumlaumu au kufanyia lolote baya. Je hebu niambie , kama ni wewe ungefanya nini kwenye mazingira kama haya?

time will tewll

ili nikubali pia itabidi anihakikishie kuwa nitakapomtetea wife akininyima yeye awe tayari kunihudumia

Hata siku moja!!...ukifumaniwa ni lazima ukatae!. Hata mkeo akikufumania live, mwambie "It's not what it looks like"..kataa,kataaa!!

Huwa naletewa kesi za namna hii.............

Kama ningekuwa mimi ningemkubalia ili kwanza nizime hilo zali la mentali.

Baada ya muda namweleza kuwa makubaliano yetu yamenishinda na asithubutu kumweleza dada yake....Akijidai mjanja nami namwambia dada yake kwamba amekuwa ananifanyia vituko ili nikubali kutembea naye. Baada ya kukataa nidyo akanitungia hiyo kesi

Hadi hapo itakuwa ni jukumu la wife kuchagua wa kumwamini. Na kama anaishi kwangu na ninamtunza...sharti ni kwamba baada ya hiyo issue kuwa public lazima yeye aondoke!

Nadhani hadi hapo atakuwa amebeba liability na naamini kama ana akili hawezi tena kujaribu kumweleza dada yake!!

Typical Man indeed...lol... Kobello hii kali!!!

Yuko sahihi kabisa,

Mwanamume wa kweli hanyooshi mikono juu hata kama risasi zoooote zimeisha.....Ikibidi anatumia singe...

Kukiri kwamba kweli umefumaniwa ukibanjua nje ni udhaifu unaotakiwa kukemewa kwa nguvu zooooote.....

Hivi kweli dhamira haitakushtaki?

Mie sio mwanaume.. lakini ninavoelewa ni kua kama yule mdogo wa wife akijieleza hivo kwa huyo shemeji (suala la kupendelewa) huyo mwanaume atakubaliana nae... sio sababu ya kukwepa eleza the wife... bali sababu ya kutaka kujenga bond na huyo binti kumuwezesha nae pia atoke nae...

Kama ningekuwa mimi ningemkubalia ili kwanza nizime hilo zali la mentali.

Baada ya muda namweleza kuwa makubaliano yetu yamenishinda na asithubutu kumweleza dada yake....Akijidai mjanja nami namwambia dada yake kwamba amekuwa ananifanyia vituko ili nikubali kutembea naye. Baada ya kukataa nidyo akanitungia hiyo kesi

Hadi hapo itakuwa ni jukumu la wife kuchagua wa kumwamini. Na kama anaishi kwangu na ninamtunza...sharti ni kwamba baada ya hiyo issue kuwa public lazima yeye aondoke!

Nadhani hadi hapo atakuwa amebeba liability na naamini kama ana akili hawezi tena kujaribu kumweleza dada yake!!

Mtambuzi:
Unless you are lookiing for a bandaid solution, i.e . "kusitiri kidonda on the surface wakati ndani kinaoza", then dont listen to this.
Sooner or later, these things have a way of coming out, bora ukae chini na mkeo umueleze ukweli and be done with it. Hicho cha shem
kusema atakufichia siri with this and that condition, I think that bunch of bs. Dont forget that huyo ni ndugu yake so even if she promises not to tell eventually, she may then where will that leave you?

Hivi kweli dhamira haitakushtaki?

Kipi bora...dhamira kushitaki au kuokoa ndoa???

Hayo nitayafikiria baada ya kuhakikisha kuwa mke wangu bado yuko na mimi na kazi ya shetani aliyenifanya nikabanjua nje imeshindwa!!

Mtambuzi:
Unless you are lookiing for a bandaid solution, i.e . "kusitiri kidonda on the surface wakati ndani kinaoza", then dont listen to this.
Sooner or later, these things have a way of coming out, bora ukae chini na mkeo umueleze ukweli and be done with it. Hicho cha shem
kusema atakufichia siri with this and that condition, I think that bunch of bs. Dont forget that huyo ni ndugu yake so even if she promises not to tell eventually, she may then where will that leave you?

That is Point!

Hakuna kitu kama hicho kwenye ndoa...Eti umweleze ukweli mkeo kwamba ulienda kufanya kweli kwa yule Asha, mtoto wa jirani yenu mzee Musa???

Mwanamume wa namna hiyo atakuwa mpumbavu...Siku zote wife anatikiwa kuamini kwamba mume wake hawezi kutembea nje ya ndoa. Sasa ukishamueleza kuwa kweli umevunja hiyo imani yake kwako utaweza kusema kwamba bado una ndoa na mke?????

Mtambuzi:
Unless you are lookiing for a bandaid solution, i.e . "kusitiri kidonda on the surface wakati ndani kinaoza", then dont listen to this.
Sooner or later, these things have a way of coming out, bora ukae chini na mkeo umueleze ukweli and be done with it. Hicho cha shem
kusema atakufichia siri with this and that condition, I think that bunch of bs. Dont forget that huyo ni ndugu yake so even if she promises not to tell eventually, she may then where will that leave you?
Hata siku moja, usikubali hii haisidii bali itaharibu ndoa.
The eleventh commandment "Thou shall not get caught,if caught thou shall not admit".

That is Point!

Siyo kweli mkuu....

linapokuja suala la mume...hakuna kuaminiana...Yaani mtu hawezi kumwani hata mama yake sumbuse dada??? Mwanamume ukitumia udhaifu huo lazima utawagombanisha na kubaki na mke wako kwa raha zooote!!

Similar Discussions

Back
Top Bottom