Shemeji antamani nfanyeje mie???

mambo mengine bana!!ukitamaniwa tu unataka kuvua chupi!!
wangapi wanakutamani? we kama unataka kuliwa au kulana na huyo shemejio,
endelea kwa mpango wako!!
 
Sasa anahitaji ushauri gani hapo??anataka aambiwe amkubali??
kwani hawezi kumchomolea:angry:

Yaani hata mi nashangaa hapo! Ina maana yeye hana jibu? Au anatafuta kuhararisha mambo yake? Jibu analo mwenyewe,asitafute watu ubaya.
 
Back
Top Bottom