Shemeji anadai massage

Acha utoto wewee..we si mtaalam wa massage..

Imagine kama wewe ungekuwa docta na shemeji yako anaumwa busha je..ungeacha kumtibia ilhali ukijua kuwa kuwa usipompa hiyo huduma ya kwanza ngiri ikimpanda anaweza kufa...tumia elimu na utaalamu wako kwa manufaa ya ndugu na jamaa zako wa karibu...

mpe massage shemejiyoo..tena kitu ya fully body...au unataka aje ofcn kwako ndio ufunge ofc...
Hey Try to use ua common sense! kumbuka we are great thinker!

Huyo si mteja tuu.

kwel shemeji hana akil anataka vya shemeji yake du hilo ni bonge la bomu mwajiwekea sepa mapema kabla hakijanuka

Ili kulinda ndoa ya dada yako hama hapo, kwanza unafanya nini kwa watu mtu mzima na kazi unayo, kaanze maisha yako na wewe upate wa kwako

Kweli dunia inamambo toka kitambo, dunia hii imejaa chuki na majigambo,,

Fanya usepe binti, kama umeshafanya kazi miaka 2, kufukuzwa sio lazima uambiwe toka, hata matendo yanatosha kujua kuwa hutakiwi.....

wadau wa mmu tumsaidieje huyu?

"mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 22, ninakaa na dada yangu hapa jijini dar ambaye ameolewa na wana mtoto mmoja na kwa sasa dada ni mjamzito tena. Mimi nimafanya kazi kwenye massage parlour moja hapa jijini nimeifanya kazi hii kwa miaka 2 sasa na nimekuwa na uzoefu nayo mkubwa.
Shemeji yangu (mume wa dada) amekuwa akinisumbua sana, alianza na gia ya kunitongoza nikamkataa kwani sikutaka kumsaliti dada yangu anayeniweka mjini, sasa hivi dada amesafiri kikazi kwa kama wiki 2 hivi, shemeji kila akirudi anadai mwili umamuuma nimfanyie massage.,jana ndio katoa kali maana kaja na taulo tu anasema anataka full body massage kwa kweli ilibidi nikimbie nyumba nikalala kwa rafiki yangu.,naombeni ushauri huyu shemeji nimfanyaje nasita kumwambia dada kwani sitaki kuwagombanisha na ninahifia hali ya sasa ya dada..nisaidieni ushauri"
kama unafanya kazi tafuta nyumba upange usije kuingia matatizoni bure,km huna uwezo rudi nyumbani,kwani huna kwenu????????

Hebu weka picha yako hapa ndio tutajua ni kwanini anakufuata. kisha tutakupa ushauri......otherwise sepa haraka kapange mtaani. unasubiri mpaka ujenge nyumba yako ndio uache utegemezi? kwa maisha haya ya siku hizi unadhani wawezajenga nyumba kwa siku moja weye?
.Aisee, i can see your first sentence
kweli umeonesha hoja iliyojificha

75% ya massage parlours hapa Dar zinatoa huduma ya NGONO FASTA. Shemeji anajua hiyo, ndo maana anataka huduma.

Kama una kazi kwanini usitafute chumba ukapanga?.
Kama kazi yako ni masage tu kwanini yeye umkatilie huduma?
Mfanyie masage kama wengine unavyowafanyia, au wengine huwa unawapa na mambo mengine?

Maombi ya shemeji yanatokana na picha mbaya ya huduma ya 'message' hapa Dar.

Wadau, mbona mnamshambulia huyu Jamaa bure, Jamaa anahitaji massage na sio kitu kingine!! sasa huko kubaka kunatoka wapi...

hawa watu wa massage si ndio physiotherapist au, si sawa na matabibu wengine.... mpe huduma kama au Mdada anamtamani shemejie so anajua akimpa full massage atatamani ampe mzigo

au huko unapofanyia watu massage huwa unawapa mzigo, kama ni hapana mfanyie tu SHEMEJIII

...dahhh, ama ugonjwa hauchagui dakitari,...
kwani kuna shida kufanya massage ilhali nawe umetinga full overall la jeans?
au raha ya masseuse ni avae nusu uchi?

msubir dada ako jarud ili umfanyie hiyo ki2 huku dada ako anashuhudia.kwa sasa kimbia miguu ifike kisogon maana usije ukapata kitoto ambacho kitashindwa kimuite dada ako na watoto wa dada ako nan?

...dahhh, ama ugonjwa hauchagui dakitari,...

kwani kuna shida kufanya massage ilhali nawe umetinga full overall la jeans?

au raha ya masseuse ni avae nusu uchi?

yaaaah of couse,massage na overolll wapi na wap,?

Similar Discussions

Back
Top Bottom