M-bongotz
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 1,734
- 405
Wadau wa MMU tumsaidieje huyu?
"Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 22, ninakaa na dada yangu hapa jijini Dar ambaye ameolewa na wana mtoto mmoja na kwa sasa dada ni mjamzito tena. Mimi nimafanya kazi kwenye Massage Parlour moja hapa jijini nimeifanya kazi hii kwa miaka 2 sasa na nimekuwa na uzoefu nayo mkubwa.
Shemeji yangu (Mume wa dada) amekuwa akinisumbua sana, alianza na gia ya kunitongoza nikamkataa kwani sikutaka kumsaliti dada yangu anayeniweka mjini, sasa hivi dada amesafiri kikazi kwa kama wiki 2 hivi, shemeji kila akirudi anadai mwili umamuuma nimfanyie massage.,jana ndio katoa kali maana kaja na taulo tu anasema anataka full body massage kwa kweli ilibidi nikimbie nyumba nikalala kwa rafiki yangu.,naombeni ushauri huyu shemeji nimfanyaje nasita kumwambia dada kwani sitaki kuwagombanisha na ninahifia hali ya sasa ya dada..nisaidieni ushauri"