Shemale unataka nini? Unikome!!

9bd2d16019e4d4b93eb37ca15c6f6d0e.jpg



Kama wapo na humu wanikomeeeee waone kabisa ujinga wao
bb9f9348ffe19787ac9ca612c1d51678.jpg
Sasa wakukome vipi wakati unachat nao vizuri unawaita mpenzi, na unajibu ushatamani.....
Afu pia sio ustaarabu kuanika private messages haijalishi mmeongelea nini
 
Sasa wakukome vipi wakati unachat nao vizuri unawaita mpenzi, na unajibu ushatamani.....
Afu pia sio ustaarabu kuanika private messages haijalishi mmeongelea nini

Ashawekewa mtego bila kujijua...wako very techinical...kumuanzishia Uzi tayari ashaingia mtegoni..Ilibd a ignore kutoka kule kwenye chatting
 
Mkuu jamaa haungi mkono wala hasaport, hilo haliwezekani
Lazima kuna sehemu anayo egemea baada ya hapo ndio mnaweza fanya mjadala, lazima tujue kwanza yeye amesimama wapi
Kwani ukiunga mkono au usipounga mkono inakupunguzia au inakuongezea nn ??? Mm sihukumu dhambi za watu pia napinga wanao itaka serikali kuukumu dhambi za watu ila serikali inatakiwa ihukumi vitendo vya kialifu kwa sababu mm siyo mungu pia kuusu upande ukisha simama upande tu uwezi kutoa hukumu au maoni ya haki hata siku moja
 
Kwanza nakusifu kuna sehemu unaongea point nzuri sana.
Lakini pia umekimbia swali la supermarket, haiwezekani useme uko katikati kwenye swala kama hilo.
Mfano mimi najibu , siungi mkono ushoga , nachukia ushoga, ila siwachukii mashoga kwa kuwa sijui walianzaje mpaka wakawa hivo,na hata nikiwachukua haitasolve anything. Hate the sin not the sinner, nachukia watu wanavotaka kutuaminisha kuwa watoto wetu wakiwa wamechagua ushoga basi wao wamechagua njia sahihi.
Kwa hiyo mkuu lazima tujue either una sapot ushoga au unachukia. Halafu baadaye ndio tukusikilize mitazamo yako kwa kina
Pia Yesu alichukia uzinzi ila alichukia pia uzinzi kuadhibiwa kwa mawe kwani ile haikumsaidia mtu, ndio maana mwishoni ali iterm kama dhambi na aka mwambia aliyekuwa mzinzi asitende dhambi tena, wala hakuwa vugu vugu kama wewe (naamini kuwa katikati ndio unafiki wenyewe, bora ukatae au ukubali)
lwiva
Je akuna MTU asiye shabiki wa mpira wala auchukii mpira ?? Na je unasemaje juu ya wale wanao sema mashoga na wasagaji wafungwe hata maisha mana umesema uwachukii mashoga na wasagaji .na kuusu kuwa katikati ndiyo unafiki wenyewe jibu ujui maana ya unafiki unaweza ukawa vuguvugu na usiwe mnafiki pia unaweza ukawa baridi ukawa mnafiki pia unaweza ukawa moto na ukawa mnafiki sasa nitakufafanulia inakuwaje .ni sawa na kusema mwenye dhambi ndiyo mnafiki lakini sikweli MTU anaweza akawa na dhambi na asiwe mnafiki kama ungejua maana ya mnafiki utaelewa naongea nn MTU akiwa na uvuguvugu na akakili kuwa na uvuguvugu huyo si mnafiki na MTU mwenye dhambi asiye zikataa zambizake bali anazikili huyo siyo mnafiki kwa mantik hiyo elewa hizi kanuni 3 hapa chini
1-aliye Joto na asikane kuwa yeye ni joto huyo siyo mnafiki
2-aliye Baridi na asikane kuwa yeye ni baridi huyo siyo mnafiki
3-aliye uvuguvugu na asikane kuwa yeye si uvuguvugu huyo siyo mnafiki
*jifunze kwa akili***
 
Habari ya hapa!!!!!!
Naomba ufahamu kuwa sipendi tabia ya ushoga / usagaji. habari ya kutaka kunitumia kadi ya benki na mirathi uliyoachiwa na wazazi wako ili nikutunzie mpaka utoke huko nnchi za watu sihitaji nilishakuambia usagaji sitaki am a girl and not boy! mitego yako nimeitambua kama ni uhaba wa hela matunzo yaliyopo yananitosha.

Na sijui nani kakwambia upekue maprofl ya watu fb na kuondoka na namba za watu huku hata huwajui unaanza kumtongoza mtu japo unaambiwa mimi ni KE mwenzio wew unakomalia haina tabu umezoea ooh kama nataka hela utanikabidhi kikadi cha benki jamani!!!!!! pia wale walionijaribu hapo zamani huko PM baada ya kuniona kimya saivi mmeibuka tena.

Nasema hivi (msisitizo) shemale mnikomeeeeeeee.
Masaki Dar kuna kituo cha masaji pale kuna shemales watatu na lesbians kama wote. Hawa lesbians wanasaga wanawake wenzao na kuwatia kwa strapon dildos ( zile mboo za bandia ). Kituo kina wateja wengi kweli tena watu wa maana. Kama sio vip member au hauna connection hupati nafasi ya kuhudumiwa kwenye kituo hicho. ni hataree sana.
 
Maisha ya sasa yalivyo magumu...kwanini wapuuzi kama hao hawanitafuti?
Pesa nakula na hawapati kitu dadeeeeeki
nenda masaki pale *** massage parlour wapo lesbians and shemales wengi sana.
 
Back
Top Bottom