Shemale unataka nini? Unikome!!

They love you mm sioni tatizo sana kwa msichana na msichana kusagana kwasababu hapo akuna kitu wanachofanya zaidi ya kujisisimua tu na kuusu kuwa ni dhambi huo ni unafiki wa mwafrica asiye na dhambi na awe wa kwanza kuwatupia jiwe.ushauri usimchukie ila ongea nae kirafiki tu umweleweshe kuusu wewe ujisikii kufanya hivyo wakati huo huo utajifunza mengi kuusu huyo Dada hiyo ni faida kwako
 
Habari ya hapa!!!!!!
Naomba ufahamu kuwa sipendi tabia ya ushoga / usagaji. habari ya kutaka kunitumia kadi ya benki na mirathi uliyoachiwa na wazazi wako ili nikutunzie mpaka utoke huko nnchi za watu sihitaji nilishakuambia usagaji sitaki am a girl and not boy! mitego yako nimeitambua kama ni uhaba wa hela matunzo yaliyopo yananitosha.

Na sijui nani kakwambia upekue maprofl ya watu fb na kuondoka na namba za watu huku hata huwajui unaanza kumtongoza mtu japo unaambiwa mimi ni KE mwenzio wew unakomalia haina tabu umezoea ooh kama nataka hela utanikabidhi kikadi cha benki jamani!!!!!! pia wale walionijaribu hapo zamani huko PM baada ya kuniona kimya saivi mmeibuka tena.

Nasema hivi (msisitizo) shemale mnikomeeeeeeee.

Hao waliokujaribu huko pm pia ni ke mkuu??.....Evelyn Salt ni mmoja wao???....naomba nijibu dada mzuri!
 
huyu miaka yote anafunga Pm sijui hajiamini kwann au ndo kuna wake humu
wewe [HASHTAG]#yona[/HASHTAG] Edson ni mgumu kuelewa uambiwacho ndio maana ulimezwa na papa..... kwanini unakomalia kwenda PM? nilipoelezaga 7bu za kufunga PM ulikuwa wapi?
 
mie nataka namba zao basi ziweke hapa hapa kama hautaki Pm
 
Back
Top Bottom