Shekhe Ponda: Kuna nini ndani ya "MUUNGANO" zaidi ya Fitna, majungu na kudumaza Maendeleo ya Raia? Ni heri turudi kama zamani

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,123
Shekhe Ponda amesema:

Tanganyika na Zanzibar ugomvi mpaka lini? Mara nyingi tumewazindua kutoka kwenye Jinamizi la " MUUNGANO' Dawa kila Taifa lirudi kama zamani tuishi kama Kenya na Uganda, Malawi na Msumbiji

Shekhe Ponda amezungumza kupita Ukurasa wake wa twitter

My take: Shekhe Ponda badala ya Kujenga anataka Kubomoa

=========

Ponda.PNG
 
Shekhe Ponda amesema:
Tanganyika na Zanzibar ugomvi mpaka lini? Mara nyingi tumewazindua kutoka kwenye Jinamizi la " MUUNGANO' Dawa kila Taifa lirudi kama zamani tuishi kama Kenya na Uganda, Malawi na Msumbiji

Shekhe Ponda amezungumza kupita Ukurasa wake wa twitter

My take; Shekhe Ponda badala ya Kujenga anataka Kubomoa
Muungano haufai, ona sasa wizi wa rasilimali za watanganyika unaosimamiwa na wazanzibari
 
Tukiuvunja huu muungano tutawatesa sana ndugu zetu wazanzibari ni heri tuwape muda wajipange kwanza.
Ukisema uvunje ghafla maana yake itabidi umeme nao ukatwe kwa ghafla hili moja.
Pili bado hawana jeshi la ulinzi
Tatu wajifunze kwanza kulima
Ndugu yangu ponda tulia kwanzaa
 
Ule muungano wa Somalia na Somaliland wameshagawana mbao zamani wababe wale, muungano ukiwa wa kingese dawa ni kila mmoko achukue khamsini zake, hata wa Senegambia haukudumu waligawana mbao.

Kwanini huu tulazimishane? Laa sivyo migogoro itakuwa haiishi Afrika.
 
Tukiuvunja huu muungano tutawatesa sana ndugu zetu wazanzibari ni heri tuwape muda wajipange kwanza.
Ukisema uvunje ghafla maana yake itabidi umeme nao ukatwe kwa ghafla hili moja.
Pili bado hawana jeshi la ulinzi
Tatu wajifunze kwanza kulima
Ndugu yangu ponda tulia kwanzaa
Upeo wako mdogo..
Kama wananunua chakula Bara wanaweza nunua Kenya au Uganda au Pengine..
Kwanza aliekwambia kuvunja Muungano ni kuvunja biashara nani??
 
Shekhe Ponda amesema:
Tanganyika na Zanzibar ugomvi mpaka lini? Mara nyingi tumewazindua kutoka kwenye Jinamizi la " MUUNGANO' Dawa kila Taifa lirudi kama zamani tuishi kama Kenya na Uganda, Malawi na Msumbiji

Shekhe Ponda amezungumza kupita Ukurasa wake wa twitter

My take; Shekhe Ponda badala ya Kujenga anataka Kubomoa
Muarobaini wa hizi kero za muungano ni kuuvunja tu,ni viongozi wa CCM tu ndiyo wanautaka lakini kama ingepigwa kura 'huru' ya maoni zaidi ya 99% ya Watanzania wangeukataa.
 
Back
Top Bottom