Makaayamawe
JF-Expert Member
- Feb 21, 2009
- 341
- 9
Hivi hawa wakuu hawana kazi ya kufanya mpaka wawe wasindikizaji wa Vasco Da Gama (JK) kila akitimua? Hata kwenda Zambia lazima wadamkie airport? Hivi hawana kazi za kufanya?
Rais Jakaya Kikwete, akifurahia jambo pamoja na Makamu wa Rais, Dk. Ali Mohammed Shein (kushoto), na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere alipokuwa akisindikizwa kupanda ndege kwenda Zambia jana.
Last edited: