Shein kafunguwa Guntanamo yake Zanzibar ili kumridhisha JK asimfukuze?

Tatizo huna statistics kwa hiyo hawezi kuthibitisha unacho kisema. Sasa wewe umeona freedom of speech ndio ustaarabu, hata kama kinachosemwa hakina maana? Kama hivyo ndivyo itakuwa hata 'Yesu' hakuwa nayo! Maana unaambiwa kama huna jema la kusema ni heri kukaa kimya. Ushoga marekani ndich kitu wanachojivunia, hata Obama kwenye speech ya kushukuru kuchaguliwa alijisifu. Huko kwingine hata kama upo, jamii inachukulia kama uovu lakini sio Marekani. America sio civilized world kama ni hivyo.

Nakubali, Civilized world ni hii
 
Attachments

  • Zee zima liaoa mtoto.jpg
    Zee zima liaoa mtoto.jpg
    67.3 KB · Views: 53
Huko Qatar hakuna mambo ya kujadili?

Kweli Tanzania ni huru kama Marekani. Sidhani kama mpemba wewe unaweza kuthuutu kupaza sauti yako uarabuni, kama hukuambiwa 'umekuja kuosha vyombo hotelini, osha vyombo kaa kimya'. Hapo ndio utaona tofauti ya Civilized World na Arab World.

We osha vyombo huko, Pemba ulishaikimbia kwa kuwa hukutaka 'kukazana' kwenye mikarafuu na wenzio kina Khakke

Nilipo Underline.

Civilized World ni ile unayofundishwa kwenye mafunzo yenu katika skuli zenu za Ijumaapili ya kujenga ujasiri wa Kukata viunga albino, kuuwa vikongwe, kuchuna ngozi na baya zaidi kukatazwa kutumia maji ukienda haja kubwa na kulazimishwa kutumia karatasi.

Pole sana
 
HUU NI MWANZO TU kaka bado hujaskia kauli za UAMSHO KWISHA jana pale dodoma eeh? Kazi mnayo na elimu dunia mlichana madaftari.
 
Nilipo Underline.

Civilized World ni ile unayofundishwa kwenye mafunzo yenu katika skuli zenu za Ijumaapili ya kujenga ujasiri wa Kukata viunga albino, kuuwa vikongwe, kuchuna ngozi na baya zaidi kukatazwa kutumia maji ukienda haja kubwa na kulazimishwa kutumia karatasi.

Pole sana

Nilidhani utakua muelewa wa suala linalozungumzwa na kutoingiza masuala ya dini juu ya hili. Kusali juma3, ijumaa au jumapili si hoja ya kinachozungumzwa hapa. Na kama tukishambuliana juu ya hoja za fujo zinazofanywa na dini au jamii flani yenye vielelezo nadhani utakosa la kusema.

Niishie hapo na turudi kwenye suala la UAMSHO na kuvunja sheria za Nchi yetu sote. Kama Uamsho watakutwa na hatia basi sheria isipindishwe kwa kuogopa wafuasi wake ambao ni kama viumbe waliokua trained na kukosa muda wa kufikiria kama kiongozi wao anachembe za ukweli juu ya anachodai. Mfano kuna wakati nilisikia mnhadhara wake pitia Utube, anadai Zanzibar inanyimwa mamilioni ya dola kutokana na ndege zinazotumia au kupita katika anga lake....nilicheka sana kwa kua alikua anawadanganya wale waliokua wakimsikiliza kwa kupiga makofi (Aplause).

Maskini ina maana hawa wote wanaomsikiliza wanajua kua anga ni capital ya chi kama ilivyo madini na gesi?.
 
1. Unadhani pombe imehalalishwa Kanisani tu? Soma hapa ***** wewe Quran 47:15 na Quran 83:22

2. Kama ibilisi ametudanganya kuwa 1+1+1=3 basi marehemu mudi aliyekwambia wewe Quran 4:11-12 halafu nisaidie kugawa 100 kwa uwiano wa 2/3, 1/3 na 1/8.

3. Watu wa Syria wameuawa na Marekani, Darfur wameuawa na Marekani hata mabomu ya kujitoa muhanga yanayobatuliwa Iraq yanasababishwa na Marekani. Na ndio maana kila mtu anakimbilia Iran na Iraq kufuata Ustaarabu

4. Bora kumpa mwanangu pombe kuliko kumuingilia angali ana miaka 9. Pombe si mbaya kwa kuwa atakuwa anajiandaa kuifaidi mito ya pombe paradiso (Quran 47:15)

Hii ni picha ya Wamarekani wakionesha ustaarabu wao

1) Nashukuru umekubali kwamba pombe na ugay vimeruhusiwa kanisani ila sasa unataka kujua kama imeruhusiwa pia kwenye qurán. Quran imekataza pombe hapa 5:90 na ukitaka kujua kama imeharamishwa waislamu wanakatazwa kila siku. Ya pepo ni maisha mengine ambapo mungu ndio anajua. Wakristo hamkatazwi kunywa pombe na hata kanisani ipo. This is plain clear, ukristo ni pro - pombe (cha pombe).

2) Ndio hapo utakapojua kwamba unahitaji kufundishwa. Simple mathematical logic haikubali hiyo formula ya 1+1+1=3.
Ugawaji wa mirathi sijui mathematical erro iko wapi? Labda ujipange uje upya. Umechukua to fractions halafu unataka jawabu liwe 100. sijakusoma bado.

3)Syria, Darfur, Iraq n.k Marekani ndiye mgawaji mkuu wa fedha na silaha ili watu wauane. So America yumo 100% hata wao wanakubali kwa vile wanataka 'regime change'.

4) Nakusihi usimpe pombe mwanao lakini ukikaidi hata ushoga mfundishe kwa sababu kwenye dini yenu hayo yameruhusiwa.

5) Unajisi wa watoto ulianza kule Italia ambapo hadi leo kanisa halijaweza kujikosha kwa udhalilishaji wa watoto ambao wako chini ya miaka tisa.
 
Wazanzibari wenzangu wala tusiwe na wasiwasi Mashekh wetu watawatoa kutaka wasitake, hilo la Watanganyika kujifanya wao kuwa watawala wa Zanzibar lipo ukingoni.

Kwa Taarifa za ndani Mashekh watatolewa tarehe 20/11/2012. Waaacheni Watanganyika na ujinga wao, labda linalowApa kiburi ni dhana kuwa Maluuni Nyerere bado yupo hai.

JAMHURI YA ZANZIBAR KWANZA UTANZANIA CHUKUENI WENYEWE WATANGANYIKA

Zanzibar = Unguja + Pemba;

Tanzania = Tanganyika
 
1. Unadhani pombe imehalalishwa Kanisani tu? Soma hapa ***** wewe Quran 47:15 na Quran 83:22

2. Kama ibilisi ametudanganya kuwa 1+1+1=3 basi marehemu mudi aliyekwambia wewe Quran 4:11-12 halafu nisaidie kugawa 100 kwa uwiano wa 2/3, 1/3 na 1/8.

3. Watu wa Syria wameuawa na Marekani, Darfur wameuawa na Marekani hata mabomu ya kujitoa muhanga yanayobatuliwa Iraq yanasababishwa na Marekani. Na ndio maana kila mtu anakimbilia Iran na Iraq kufuata Ustaarabu

4. Bora kumpa mwanangu pombe kuliko kumuingilia angali ana miaka 9. Pombe si mbaya kwa kuwa atakuwa anajiandaa kuifaidi mito ya pombe paradiso (Quran 47:15)

Hii ni picha ya Wamarekani wakionesha ustaarabu wao

You have nailed it. Hawa jamaa wanajidai lakini kitabu chao hata na mwenendo wa mtume wao ni wa mashaka makubwa kama kweli ni kitabu kitakatifu cha mwenyezi Mungu. Kina hadithi nyingi zisizoendana na ukweli wa historia na pia wanavyojitetea kuwa uhalali wa mtume uko kwenye biblia ni hadithi tu za kujitetea kama Mugabe kuwaaminisha waafrika kuwa umaskini wao unatokana na wazungu wakati ni yeye na utawala wake wa kifisadi.
 
1) Nashukuru umekubali kwamba pombe na ugay vimeruhusiwa kanisani ila sasa unataka kujua kama imeruhusiwa pia kwenye qurán. Quran imekataza pombe hapa 5:90 na ukitaka kujua kama imeharamishwa waislamu wanakatazwa kila siku. Ya pepo ni maisha mengine ambapo mungu ndio anajua. Wakristo hamkatazwi kunywa pombe na hata kanisani ipo. This is plain clear, ukristo ni pro - pombe (cha pombe).

2) Ndio hapo utakapojua kwamba unahitaji kufundishwa. Simple mathematical logic haikubali hiyo formula ya 1+1+1=3.
Ugawaji wa mirathi sijui mathematical erro iko wapi? Labda ujipange uje upya. Umechukua to fractions halafu unataka jawabu liwe 100. sijakusoma bado.

3)Syria, Darfur, Iraq n.k Marekani ndiye mgawaji mkuu wa fedha na silaha ili watu wauane. So America yumo 100% hata wao wanakubali kwa vile wanataka 'regime change'.

4) Nakusihi usimpe pombe mwanao lakini ukikaidi hata ushoga mfundishe kwa sababu kwenye dini yenu hayo yameruhusiwa.

5) Unajisi wa watoto ulianza kule Italia ambapo hadi leo kanisa halijaweza kujikosha kwa udhalilishaji wa watoto ambao wako chini ya miaka tisa.

1. Hilo la pombe na ugay kuruhusiwa kanisani yameanzia kwako, nilitumia puruzai kukupata kwenye line. Kwa hiyo allah anawakataza kunywa hapa duniani lkn yeye kaitengeneza peponi kwenu mnywe. Na mabikira 12 kila mtu atapata, si ndio. Sasa nisaidie jambo; wanawake wao watawekewa wanaume wangapi? Kama ya peponi tumwachie Mungu mbona unakazana kwenda?

2. Huwezi kuelewa mathematical error kwani madrassa hamkufundishwa. Nimekwambia unisaidie kugawa 100 kwa uwiano wa 2/3, 1/3 na 1/8. Ulichotakiwa kusema ni kwamba hujui kugawa nikuoneshe. Twende wote sasa;
- 2/3 ya 100 = 66.7
- 1/3 ya 100 = 33.3 na
- 1/8 ya 100 = 12.5

Ukizijumlisha 66.7 + 33.3 + 12.5 = 112.4 ambayo tayari imezidi 100.

Sasa amua mwenyewe, tuirekebishe Quran au tubadili kanuni za hisabati.

3. Kwa hiyo wewe leo hii Marekani wakikuletea mipira ya kiume utaiingilia familia yako yote kwa kuwa kosa ni la Marekani?

4. Mbona umejibu la pombe tu, vipi kuhusu kumuoza kwa mtu wa miaka 50 angali yeye (binti) ana miaka 9 tu? Au kwenu nyinyi mtoto ni wa kiume, wa kike ni mwanamke? Manake naona unazungumzia ushoga ilhali mimi nilikuwa namzungumzia binti

5. Kanisa si kazi yake kujikosha. Padre aliyebaka hakutumwa na kanisa na hivyo yeye sio mfano tunaotakiwa kuuiga. Hiyo kwetu ni Criminal Offense na sheria inapaswa kuchukua mkondo wake. Lakini vipi kuhusu upande wenu, aliyefanya vile si ndio huyo huyo ambaye mnaambiwa muishi kwa mfano wake? Na wewe umeoa kabinti ka miaka 9? Au ukikaoa inakuwa halali?
 
Nilipo Underline.

Civilized World ni ile unayofundishwa kwenye mafunzo yenu katika skuli zenu za Ijumaapili ya kujenga ujasiri wa Kukata viunga albino, kuuwa vikongwe, kuchuna ngozi na baya zaidi kukatazwa kutumia maji ukienda haja kubwa na kulazimishwa kutumia karatasi.

Pole sana

Unajua saa nyingine mi hudhania mna laana fulani. Yaani mtu anazusha jambo la kipuuuuuzi lkn linabebwa na wakubwa na hata wanaoaminika na imani yenu linaitwa ukweli. Hili swala la kutokutumia maji chooni mi nimelisikia hapa hapa JF.

Sidhani kama viungo vya albino vinafundishwa kukatwa Sunday School. Ni vile unaishi gizani basi unadhani na wengine wanaamini giza. Tena ungekuwa na akili timamu usingezungumzia imani za kishirikina mbele yangu kwani hayo mambo yako associated na upande uliopo sasa sijui wapi unapata ujasiri wa kuyaweka ubaoni.

Na haya maswala ya kutawaza, kunya na kujamba inaonekana yana nafasi sana kwenye imani yenu kuliko matendo mema. Sasa acha nikueleze japo unanichosha, hamna mtu aliyeelekezwa na Mungu kutumia toilet paper ila ktk mazingira ambayo maji hayapo nafikiri hiyo ni busara zaidi ya kutumia jiwe uliloliokota chini ambali yawezekana jana limetumiwa na mwenzako mwenye akili km hizo kwa hiyo ni chafu.

Sasa nitakushangaa sana wewe unayepaka mchanga uliookota chini ukijiita msafi zaidi ya aliyetumia toilet paper. Mmekuwa watumwa wa mapokeo ya maisha ya middle east kiasi mnachekesha. Eti hata kuingia chooni unatanguliza mguu fulani, tehe tehe tehe! Pale unapochukua mchanga wa kujifutia mwenzio alikojoa hapo jana, tumia akili, au mchanga mnatembea nao kwenye mifuko ya suruali fupi.

Mimi siamini, hivi na King Abdullah naye anajifuta na jiwe alilookota chini?!!
 
Kakke naona uko kazini kama kawa,utatoa mapovuuuuu weeeeeeeee lakini hao panya hawatoki hapo na wataendelea kunyolewa mijidevu yao kama kawa chezee serikali wewe
 
1. Hilo la pombe na ugay kuruhusiwa kanisani yameanzia kwako, nilitumia puruzai kukupata kwenye line. Kwa hiyo allah anawakataza kunywa hapa duniani lkn yeye kaitengeneza peponi kwenu mnywe. Na mabikira 12 kila mtu atapata, si ndio. Sasa nisaidie jambo; wanawake wao watawekewa wanaume wangapi? Kama ya peponi tumwachie Mungu mbona unakazana kwenda?

2. Huwezi kuelewa mathematical error kwani madrassa hamkufundishwa. Nimekwambia unisaidie kugawa 100 kwa uwiano wa 2/3, 1/3 na 1/8. Ulichotakiwa kusema ni kwamba hujui kugawa nikuoneshe. Twende wote sasa;
- 2/3 ya 100 = 66.7
- 1/3 ya 100 = 33.3 na
- 1/8 ya 100 = 12.5

Ukizijumlisha 66.7 + 33.3 + 12.5 = 112.4 ambayo tayari imezidi 100.

Sasa amua mwenyewe, tuirekebishe Quran au tubadili kanuni za hisabati.

Nilipo RED.

Nilitaka kukusaidia kidogo hapo.

Kilichobainishwa kwenye mgawo wa Mirathi hiyyo ni Baki baada ya kutoa fungu kamili.

Ingawa umekosea katika hisabu zako kwani siku zote
ukichukua 2/3 + 1/3 + 1/8 is not equal to 1.

Hivyo ulichobainisha hapo kina mushkira mkubwa, inakupasa yrejee tena skuli ukajifunze upya hisababu. Na kama ulikusudia mirathi basi siku zote baada ya kutoa fungu husika ile BAKI ndio unaingia hisabu nyingi.( kwa maana kuwa ile baki baada ya kutoa fungu la kwanza ndio unalifanyia hisabu zake)
.

Rejea tena Skuli kwa hizo labda hisabu mnazofundishwa skuli za Ijumaapili. Lakin hisabu halal haziendi hivyo.
Pole sana.
 
Unajua saa nyingine mi hudhania mna laana fulani. Yaani mtu anazusha jambo la kipuuuuuzi lkn linabebwa na wakubwa na hata wanaoaminika na imani yenu linaitwa ukweli. Hili swala la kutokutumia maji chooni mi nimelisikia hapa hapa JF.

Sidhani kama viungo vya albino vinafundishwa kukatwa Sunday School. Ni vile unaishi gizani basi unadhani na wengine wanaamini giza. Tena ungekuwa na akili timamu usingezungumzia imani za kishirikina mbele yangu kwani hayo mambo yako associated na upande uliopo sasa sijui wapi unapata ujasiri wa kuyaweka ubaoni.

Na haya maswala ya kutawaza, kunya na kujamba inaonekana yana nafasi sana kwenye imani yenu kuliko matendo mema. Sasa acha nikueleze japo unanichosha, hamna mtu aliyeelekezwa na Mungu kutumia toilet paper ila ktk mazingira ambayo maji hayapo nafikiri hiyo ni busara zaidi ya kutumia jiwe uliloliokota chini ambali yawezekana jana limetumiwa na mwenzako mwenye akili km hizo kwa hiyo ni chafu.

Sasa nitakushangaa sana wewe unayepaka mchanga uliookota chini ukijiita msafi zaidi ya aliyetumia toilet paper. Mmekuwa watumwa wa mapokeo ya maisha ya middle east kiasi mnachekesha. Eti hata kuingia chooni unatanguliza mguu fulani, tehe tehe tehe! Pale unapochukua mchanga wa kujifutia mwenzio alikojoa hapo jana, tumia akili, au mchanga mnatembea nao kwenye mifuko ya suruali fupi.

Mimi siamini, hivi na King Abdullah naye anajifuta na jiwe alilookota chini?!!

Hebu soma hapa ingawa najua hichi kule skuli za Ijumaapili wanakwepa kukufundisha.
Kutoka 30:17-21

17
Kisha BWANA akamwambia Mose, 18"Tengeneza sinia la shaba, lenye kishikilio cha shaba kwa ajili ya kunawia. Liweke kati ya Hema la Kukutania na madhabahu, kisha weka maji ndani yake. 19Aroni na wanawe watanawa mikono na miguu yao kwa maji yatokayo katika hilo sinia. 20Wakati wo wote wanapoingia katika Hema la Kukutania, watanawa kwa maji ili kwamba wasije wakafa. Pia, wanapokaribia madhabahu ili kuhudumu, kwa kuleta sadaka zilizotolewa kwa BWANA kwa moto, 21watanawa mikono na miguu yao ili kwamba wasije wakafa. Hii itakuwa ni amri ya kudumu kwa ajili ya Aroni na wazao wake kwa vizazi vijavyo."

Yohana 2: 6
[SUP]6[/SUP][SUP][/SUP]Basi ilikuwapo hapo mitungi sita ya kuwekea maji ya kunawa, kufuatana na desturi ya Wayahudi ya kutawadha

Lakin hili la kuuwa vikongwe , kukata viungo vya albino na hata kuchuna ngozi waulize wamelitoa wapi?
 
Nilidhani utakua muelewa wa suala linalozungumzwa na kutoingiza masuala ya dini juu ya hili. Kusali juma3, ijumaa au jumapili si hoja ya kinachozungumzwa hapa. Na kama tukishambuliana juu ya hoja za fujo zinazofanywa na dini au jamii flani yenye vielelezo nadhani utakosa la kusema.

Niishie hapo na turudi kwenye suala la UAMSHO na kuvunja sheria za Nchi yetu sote. Kama Uamsho watakutwa na hatia basi sheria isipindishwe kwa kuogopa wafuasi wake ambao ni kama viumbe waliokua trained na kukosa muda wa kufikiria kama kiongozi wao anachembe za ukweli juu ya anachodai. Mfano kuna wakati nilisikia mnhadhara wake pitia Utube, anadai Zanzibar inanyimwa mamilioni ya dola kutokana na ndege zinazotumia au kupita katika anga lake....nilicheka sana kwa kua alikua anawadanganya wale waliokua wakimsikiliza kwa kupiga makofi (Aplause).

Maskini ina maana hawa wote wanaomsikiliza wanajua kua anga ni capital ya chi kama ilivyo madini na gesi?.

Nafikiri ahali yangu unajichanganya sana.

Nilitaka nikuzindue kidogo hapa.

Znz hata siku moja haiwezi kuingia katika mizozo ya Kidini na sababu kuu ni zaidi ya 99.9% ya raia wake ni waislam. Na ukichunguza zaidi 100% ya wawakilishi na wabunge wake wa kuchaguliwa na wananchi ni waislam. Na uamsho nayo ni ya waislam.

Mgogoro uliopo Znz ni vita kati ya UAMSHO na SIASA ZA CCM kwani madai yao uamsho ni kutaka Znz huru na kuwe na usawa na haki katika muungano wenu.

Kwa msingi mkubwa utaona waTanganyika wanataka kuleta mfumo usio sahihi kwa waZnz jambo ambalo ni muhali sana kwa jamii ya Kizanzibar isiyo na itikadi za kisiasa kuweza kukubali.

Wanachotofautiana kati ya CCM na UAMSHO ni pale Uamsho anaposema hadharani kuwa wanataka Znz huru kama Doula kamili, Kama Muungano basi uwe wa Mkataba au Serikali Tatu ambazo ni kinyume na SERA za CCM.

Fuatilia zaidi utajua mengi na sio ukurupuka na kutoa hukmu.

Suala la la kua 100% Waislamu sio hoja kwa kulingana na mifano hai iliyopo Duniani, Jiulize nchi zote zenye 100% muslems zina amani? SIA Vs SUNI itatunyemelea kwani hata Mwalimu alishasema "Hakuna dhana mbaya kama ubaguzi". Zanzibar UAMSHO wanadai kuipinga CCM ila cha kushangaza wanachoma makanisa, je kuna nini hapa kama sio kuingia katika mzozo kwa kuujustify kupitia sera za CCM?

Haya dini hyo yenye waumini wachache huko itaacha kwenda kuabudu, kifuatacho ndo kile cha SHIA Vs SUNI. Hili suala litazamwe kwa akili na mtazamo usioegemea upande wowote na mwenye kosa ahukumiwe kulingana na sheria za nchi. Hebu wasome BOKO HARAM wa Nigeria utagundua uozo wa fikra na mawazo, ETI WANAPIGANA KUPINGA WESTERN EDUCATION( Boko ni neno la lugha ya kwao likimaanisha elimu ya wazungu...Haram nadhani walijua). Hii ndio mitazamo iliyoko vichwani mwa wengi walevi wa dini kiasi cha kutojua wanafanya nini na kwa faida ya yupi.
 
You have nailed it. Hawa jamaa wanajidai lakini kitabu chao hata na mwenendo wa mtume wao ni wa mashaka makubwa kama kweli ni kitabu kitakatifu cha mwenyezi Mungu. Kina hadithi nyingi zisizoendana na ukweli wa historia na pia wanavyojitetea kuwa uhalali wa mtume uko kwenye biblia ni hadithi tu za kujitetea kama Mugabe kuwaaminisha waafrika kuwa umaskini wao unatokana na wazungu wakati ni yeye na utawala wake wa kifisadi.

Aliethibitisha kua ni Mtume s.a.w ALIKUA MGANGA WA KIENYEJI, ALIOABINTI WA MIAKA 7 NA KUJAMIIANA NAE AKIWA NA MIAKA 9, Alikua analea mtoto wa kiume, ila yule kijana alipooa s.a.w alimtamani na kumpora na kuona mke wa yule kijana. Yani kwa tafsiri sahihi aliingia mahali alipoingia yule kijana aliekua kama mwanae. Laana
 
Back
Top Bottom