Sheikh Yahya Hussein afariki Dunia

stay in peace forever shekh yahya..every one will follow after you, because in this world no one will stay forever..
 
ooooooh gosh I cant beliv masikio o macho yangu masikini shekh Yahya lest in peace men!!!
 
wakazi wa dar kuweni macho.........maana majini hayana pa kwenda.......yanaranda randa mjini.
 
Kuna tetesi kuwa shekh yahya hussein amefariki dunia???? Kuna mwenye habari zozote??????
 
Kuna habari zisizothibitishwa kuwa Mtabiri Maarufu nchini,Sheikh Yahya Hussein amefariki dunia leo hii...If true,R.I.P.Sheikh....
 
Loh!
Kama ni kweli basi aliyotabiri mwenyewe yametimia!
Alisema mwaka huu mtu maarufu atakufa and it turns out yeye na umaarufu wake ametangulia!
 
Nyie mnaonekana ni true watz....kuficha ficha mambo ndio maana miwshowe mnaumbuka kwa matatizo.....nakumbuka Uganda miaka ya 80 ilikupambana na AIDS ukifa na ngoma siku ya msiba unatangazwa kabisa.....manumbu kafariki kwa HIV!!!!....

NYIE tz kila mtu anakufa kwa kisukari.....ndio maana mnazidi kuwa maskini wakubwa kwa kuona aibu kuambiana ukweli......

Nani asiejua yahaya alikuwa mchawi,mwongo na mchonganishi kwa watanzania??......vitabu vinatuambia watu wa namna hiyo hawawezi kufika mbinguni.......suala la marehemu hasemwi imeandikiwa wapi? nipe aya

acha unyanyapaa wewe! Kwani HIV ndio ugonjwa wa aibu!
Badilika
 
yahya-11.jpg
 
Ni Kweli Shehe Yahya amaefariki dunia angalia TBC 1 taarifa ya habari saa 7 mchana leo tarehe 20/05/2011!
R.I.P
 
Back
Top Bottom