hugochavez
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 1,907
- 1,009
SHEIKH PONDA, KUNDECHA, WAANZISHA DES YA KIISLAM,WAWADHULUM WAISLAM.
Mwenyekiti wa Baraza kuu la Taasisi za kiislam Mussa Kundecha kwa kushirikiana na Sheikh Issa Ponda Katibu wa baraza hilo na katibu wa shura ya maimam Tanzania wanamiliki DES inayotumika kuwatapeli waislam hapa Nchini.
Miaka kadhaa iliyopita Viongozi hao wa juu kabisa wa kiislam hapa Nchini kwa kushirikiana na maimam na waumini wa misikitini mingine walianzisha SACCOS ya kiislam iitwayo KUTAYBA SACCOS yenye lengo la kusaidia yatima, wajane na maskini na kutoa mikopo isiyokuwa na riba kwa jamii ya kiislam wakiwemo vijana na kina mama pia kusaidia ukarabati wa misikiti.
Masheikh hawa walipita katika miskiti iliyopo chini ya Baraza kuu kuhamasisha uchangiaji wa waislam kwa lengo la kutunisha mfuko huo ambapo ilikubalika kuwa kila msikiti uchangie Tshs 300,000 kila mwezi kwa muda wa miaka Nane ndipo waumini waanze kunufaika jambo ambalo lilifanyika kwa ufanisi mkubwa kwani maimam nchi nzima waliwahamasisha waumini fedha lukuki zikapatikana.
Kinyume kabisa na matarajio, zaidi ya miaka 12 sasa giza nene limetanda kwani hakuna hata yatima mmoja wala mjane aliyesaidiwa hali iliyowafanya waislam kwa kutumia maimam wao kuhoji nini kinaendelea jambo lililozua sintofaham kubwa.
Jana tarehe 10/04/2019 katika msikiti mmoja jijini Dsm waumini wa kiislam baada ya kuchoshwa na ukimya pamoja na majibu ya kisiasa waliwaita akina Ponda na Kundecha na kufanya nao kikao kuwahoji kinachoendelea kwny DES hiyo maana imepita miongo kadhaa sasa na waislam wanachangishwa fedha kila uchao lakini hakuna mtu yeyote aliyenufaika na mfuko huo.
Kwa mshangao mkubwa masheikh hao walishindwa kutoa maelezo ya kuridhisha huku wakieleza kuwa hakuna fedha yoyote kwenye SACCOS hiyo ya KUTAYBA.
Waumini walishangazwa na majibu hayo ya kisiasa huku wakieleza kuwa hakuna mwezi hata mmoja waliokosa kuchangia fedha katika mfuko pamoja na kupokea na kutekeleza maagizo mbalimbali ya kidini na kisiasa yanayotolewa na viongozi wao hao.
My take: Tunaomba serikali iingilie kati kadhia hii kwani nyumba za ibada zimevamiwa na mchwa.