Sheikh Mohamed; Sio 'wivu' wa kidini, ni fedha zetu, only

Sisi tunataka kuchinjana wakati wenzetu wanajichanganya tu. Angalia mfalme wa Saudi kaenda kutibiwa kwa mapadri.

King Abdullah of Saudi Arabia arrived in Casablanca, Morocco, on Saturday to continue his recovery from back surgery late last year, the official Saudi Press Agency reported.

The king, who was met by Moroccan King Mohammed VI, will undergo physical therapy in the north African country following treatment in the United States for a herniated disc and a blood clot that was causing him back pain, according to Saudi state media.

He underwent his first surgery November 24 at New York's Presbyterian Hospital/Weill Cornell Medical Center. A follow-up surgery to stabilize several vertebrae in his spine was performed December 3.

Abdullah, 86, had been recuperating at his New York home since late December.
 
tunaichezea amani tuliyo nayo kwani hii hoja ilikua wapi miaka 50 ya uhuru iliyopita inakuwaje ijitokeze saa hizi?
 
tusipende dezo ndugu zangu waislam....mahakama ya kadhi kama moja ya ibada katika miongozo ya kiislam mnataka nayo muanzishiwe na serikali....wakti iko ndani ya mamlaka yenu ya uhuru wa kuabudu.....misikiti mjengewe na wafanya biashara na kadhi na majengo yake serikali igharamie...give me a break...JIPANGENI ANZISHENI MAHAKAMA YENU KIVYENU MLIPANE HUKOHUKO....IACHENI SERIKALI ILETEE MAENDELEO WATANZANIA.
 
Hivi kule kenya ambako waislam ni wachache (20%) so ndo walitakiwa wakatae kwa sana tu? Mbona wameona logic na ikawepo? Kule south Africa Je? nako ni waislam pekee au ni % ngapi? Na kwengineko kwingi, hebu angalieni kwenye mtandao mtaona. Je waislam ni % ngapi hapa Tz? Si zaidi ya 50%. Je wingi huo wote ni wakupuuzwa?
halafu pia wewe yaelekea ni kilaza wa hesabu, hebu cheki mfano wa mchanganuo huu hapa chini
hakimu1-----kesi za kawaida 20+za mambo ya waislam 5 ======25
hakimu2------ 20+ 5=======25
hakimu 3------ 20+ 5=======25
hakimu 4----- 20+ 5=======25
Hakimu5----- 20+ 5=======25
-----------------------------------------------------------------------------------
Total 100 + 25=======125

kama uwezo wa hakimu ni kuhukumu kesi 25 mathalani kwa mwezi na katika kesi hizo zipo 5 ambazo kadhi alitakiwa kuzitenda, why don't we have professional kuliko kuwa na mtu wakubahatisha mara awaite mashehe nini! ubabaishaji mtupu. Hivi mnasema eti na wakristo nao waanzishe zakwao, kwani wao wanasheria? kuna nchi ngaki zenye wakristo karibia wote nitajieni ni nchi gani inaongozwa kw sheria zake? nchi zenye waislam je? kenye mbona kuna mahakama ya kathi kwani nini kawaanzishi hizo za kikrsto tuzione? hawa si jirani zetu kwanini tusijifunze kutoka kwao?
Hivi kama wakoloni waliona ni muhimu kwa waislam kuwa na mahakama ya kadhi imekuwaje waTz wenzetu hawaoni umuhimu huo. NA SEMA HIVUI HUU NI UNAFIKI, NA NI WIVU WAKIDINI. PERIOD!

Wivu wa kidini!!! Hivi waislam kuwa na kadhi kunawaongezea nini au kuwapunguzia nini wasio waislam? Kinachoelezwa hapa ni kuwa chombo chochote cha kiimani ni lazima kigharimiwe na wenye imani hiyo. Si haki na siyo halali mahakama ya kadhi ambayo ni muhimu kwa kadiri ya imani ya kiislam kugharamiwa na watu wasio waislam. Hiyo hela mnayotaka igharamie mahakama ya kadhi ni kodi za watanzania mbalimbali kutoka kwenye viwanda vya bia, mabaa, bucha za nguruwe, n.k. Kule Zanzibar walikataa hata udhamini wa TBL, leo kwenye mahakama ya kadhi itakuwa ni halali? Kwanza nadhani litakuwa ni jambo la kujivunia kwa waislam kama wataweza kuanzisha mahakama ya kadhi kwa kutumia wataalam wao na kwa gharama yao kuliko kutegemea kuiendesha kwa pesa za wasio waislam. Mbona hata logic ya kawaida tu inakataa?
 
Back
Top Bottom