Sheikh Khalifa ammwagia data zaidi Rais Magufuli za wasomi waislamu

Kusema sasa Waislam hawajasoma ni ujinga,mie mdogo wangu kamaliza Shahara ya kwanza nimemwambia Hamna kufanya kazi,endelea na Master.mwakani anamaliza na ni mtoto mdogo tu.Shule za kata JK na Lowasa walitusaidia sana,na bwana mkubwa wa sasa haziboreshe tu.nchi ya wote,sisi ni ndugu.
 
Masters siku hizi ni fasheni.
Umemshauri vibaya,atasota mtaani si chini ya miaka 5 ndo apate kazi tena ya kujitolea.

Kweli sisi waislamu tunabaguliwa sana kwenye ajira.

Pia sisi tumefanikiwa kuwabagua WAKRISTO kwenye timu ya TAIFA/taifa stars ,huwa hatuweki zaidi ya wakristo wawili
 
seminary gani imejengwa kwa kodi za watz?Zitaje hapa.Chuo cha kiislamu morogoro kimejengwa kwa kodi za wananchi,hili hujakanusha.Magufuli katumia ofisi ya UMMA kuwaombea mjengewe msikiti,hili pia hujakanusha.
nambie nani analipa mishahara ya madaktari wa bugando ama kcmc?,
pesa za mapato ya huduma za afya zinatumika kwa kazi gani,kama gharama za uendeshaji zinakua covered na pesa za MOU?
 
kama kwamba hujui jinsi wakatolic wanavyooperate..
Nambie huyo pengo huwa anaongea nini na wagombea wetu wa urais,kabla na ama baada ya uchaguzi
Huwa anawapa usia wasivunje Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
 
Wewe punguani kweli Chadema inakuuma sana kutajwa? Hivi wewe na Mtei nani ana uchungu na Chadema? Acha unafiki wewe.
Jibu swali, Chadema inaingiaje kwenye malalamiko yenu kuwa mnabaguliwa na Rais? Au hayo majini mnayofuga yameshakuwehusha? Kama akili zenyewe ndiyo hizi mimi nasema mbaguliwe tu.
 
Asisahau pia kumwambia Rais wa Zanzibar kwanini kwenye Baraza lake LA Mawaziri hakuna mkristo hata mmoja ilihali wakristo wapo wengi tu walosoma? Kwanini Radio ya Zanzibar inapiga azana na haipigi kengele kila baada ya muda fulani!? Kwanini wakristo hupigwa mijeredi wanapokula hadharani ilihali wao sio imani yao? Hebu mood toeni upuuzi huu kwenye hili jukwaa.Asifikiri sisi wakristo hatujui huko Zanzibar yanayofanyikaga. Rais anateua watu kwa vigezo vyake mwenyewe. MTU anaweza akawa msomi na bado akawa hana maadili,sio mzalendo,au GPA yake ni ndogo ,
 
Mbona Zanzibar hajamlalamikia Rais wa Zanzibar Kwanini kwenye baraza lake LA Mawaziri hakuna mkristo hata mmoja? Mbona hata hayasemi? Ni vibaya sana kiongozi anayejiita ni wa Dino Kuwa mnafiki kwa kiwango hiki. Hata hivyo sisi tunahitaji maendeleo habari za Dini watokazo hazituhusu.
 
Umelishwa upuuzi na ujinga huu umekuingia mpaka kwenye mifupa na kutafuna akili na ufahamu wako wote, kama ulikuwepo. Povu loooote hili, linaashiria kuwa hukwenda shule na kama ulikwenda, basi hukuelimika. Nina mashaka pia na jamii inayokuzunguka. Ama imeshindwa kukusaidia au nayo inafanana na wewe, kitu ambacho siyo rahisi. Pole sana.
Ninapoishi muislamu ni mimi tuu na familia yangu. Walionizunguka ni wakristo.
Na mimi ndie nimesoma na kuelimika kuliko wooote.
Pata picha hao ndugu zako wakoje
 
Watu wengine wanatia huruma! Siku zote wanalalamikia hospitali za Bugando na KCMC kuwa zinagharimiwa kiasi fulani na serikali! Lakini hawalalamiki kwa nini waislam pia wanatibiwa kwenye hospitali hizo bila kubaguliwa!
 
Tanzania ina wasomi wengi Waislamu wanatoka wapi jamani? Ratio iliotolewa ni Wakristo 1000 kwa waislamu100 (1000:100 ).Watu wengine wanakurupuka tu toka usingizini na kudaia Waislamu wasomi ni wengi.Hakuna asiefahamu kuwa Waislamu wamewekeza kwenye dini na sio kwenye elimu ya kawaida.Angalia waasisi wa dini ya kiislamu Waarabu walivyojisahau kuwekeza kwenye elimu ya kawaida kumewagharimu kwa kuwa wa mwisho duniani baada ya Waafrika katika nyanja ya sayansi na teknologia.Kila kitu Mwarabu anatumia elimu ya mzungu katika kila kitu katika maisha yake yote.Vivyo hivyo na waislamu wengine popote walipo ikiwemo Tanzania wamewekeza zaidi kwenye dini kuliko elimu ya kawaida.Kwa hapa Tanzania hakuna asiejue kuwa waislamu kwenye mitihani ya sekondari miaka yote wanashika mkia katika ufaulu.Watoto wao wametiliwa mkazo kusoma madrasa zaidi kwa hiyo wanachopanda ndio hicho watakachovuma.Waache kulalamika bila sababu kwanza kulalamika kuna justify kuwa hawa watu kweli ni wanyonge kielimu!!
Inaonesha unachuki sana na waislamu au sijui waarabu. Hata hapa kwetu na wasomi wengi wakristo tulionao tumevumbua nini zaidi ya umasikini. Nadhani unaota mchana.
 
nambie nani analipa mishahara ya madaktari wa bugando ama kcmc?,
pesa za mapato ya huduma za afya zinatumika kwa kazi gani,kama gharama za uendeshaji zinakua covered na pesa za MOU?
Nani kakwambia gharama za uendeshaji zinakuwa covered na MOU?Au kwako mishahara ndio gharama za uendeshaji?
 
Watu wanang'ang'ania kuteuliwa... ndo akili zetu za kiafrika asee ni upuuuzu tuu ulio tujaa...
 
Ratio hii ya sasa baina ya dini hizi haijawahi kufikiwa tangu/hata enzi ya Nyerere
Suala je ni coincidence,accident or deliberate
Ukichukualia background yake ya Catholic Seminary ratio ya Catholics na Wakristo wengine ikoje? ( are in for a surprise here)
Lengo ni kuliondoa kanisa moja katika utawala wa taifa lenye imani nyingi,wanaoamini mungu na wasioamini pia.
Roma imejisahau sana na kuona bado wao ndiyo watawala,biashara ya utumwa ilikwisha na walishatawala kwa zaidi ya miaka 100,imetosha.
 
Kweli kabisa, huwa anaangalia dini ya watu.
Siku zote Mimi najua bibi wewe si mwanaccm kindakindaki Bali upo kupigania wana ccm wakidini yako ndiyo maana bila haya umeonyesha ulipoegemea. Ushauri wangu kwako anzisheni cha cha siasa cha kiisalam kama ilivyokuwa cuf kabla ya kumeguka
 
Back
Top Bottom