Sheikh Khalifa ammwagia data zaidi Rais Magufuli za wasomi waislamu

Hivi average ya wanafunzi vyuoni ipoje kati ta hizi dini mbili? Secondary je? Usikute kweli ana point huyu Sheikh halaf hamtaki kumsikiliza,

Sina upande katika hili
 
Hivi average ya wanafunzi vyuoni ipoje kati ta hizi dini mbili? Secondary je? Usikute kweli ana point huyu Sheikh halaf hamtaki kumsikiliza,

Sina upande katika hili
Hata mimi, upande wangu ni CCM
 
pengo sio mtu mzuri,mpaka atapoondoka nchi hii ndo mambo yataanza kwenda sawa,as long as bado yupo,we are in deep sh*t
Mmh Mkuu kwa hiyo unaona ni yeye kama yeye na sio position yake? Akiomdoka atakuja mwingine
 
we mkuu,hujui ulisemalo ama labda umekalilishwa,
umesoma dunia haina amani kwasababu ya waislamu,are you sure?,

taifa la kikristo la marekani tangu miaka ya 60 mpaka leo limepindua ama kujaribu kumpindua viongozi wa nchi zaidi ya 50,na katika maribio hayo mengine yakafanikiwa,mengine yakafell,japo yamelekea vifo vya watu karibu milioni 50 kwa hesabu ya haraka,
hawa wakristo wa marekani,wakitumia shirika lao la mauaji linaitwa CIA kupitia kitengo maalumu kinaitwa SAD (SPECIAL ACTIVITIES DIVISION),wamefanya majaribio zaidi ya 600 ya kumuua mwanamapinduzi fidel castro,bila kujali kuwa ni muumini mwenzao,wameua che guevera,wameua patric lumumba,etc,
vita vikubwa vyote waanzilishi wao,
silaha zote za maangamizi ni zao,
Kwa iyo kupitia hayo maelezo yako ndo ufaham kwamba kuna vitu vinatokea kutokana na utashi tu wa watu na sijasema kuwa wakristo hawafanyi maovu wakati mwingine mazingira yanasababisha hali flani iwepo lakini sio kwa mlengo wowote lakini muislam moja kwa moja anahusisha na udini
 
Kwani yeye huyo khalifa anataka wateuliwe wakaeneze dini huko maofisini? Acheni udini nyie.
Mwanzoni mlisema waislam haejasoma. Sasa data za wasomi
wa kiislam zimewekwa mnaanza kutawanyika kukimbia vivuli vyenu. Rais wenu ni Mdini. No escape about it
 
Hivi nchi hii inaongozwa na mihemko ya kundi Fulani la watu au katiba. Unajua wakati mwingine Nikimtafakari Shekhe huyu na baadhi ya Wachungaji nabaki kutema mate chini. Yaani MTU mumpangie atakayewachagua kwenye serikali yake ili wamsaidie?

Huyu Shekhe na baadhi ya Wachungaji ni hovyo Sana.
Wakija Wasabato, Walokole, Bahaula, Orthodox n.k nao walalamike itakuwaje?

Kama anataka waislam wawepo kwenye teuzi mbalimbali basi agombee Urais ili afanye hayo
 
Sisi Orthodox tangu nchi ipate uhuru hatujawahi kuteuliwa nafasi ya Waziri mkuu.

Tuna wasomi wengi tu madaktari na maprofesa.
Hatutendewi haki!
 

Nimewasemea wenzangu kwenye hekalu letu hapa Upanga East- Karibu na NMB HQ ,opp na Red Cross!
Mimi nisharidhika
 
Atuwekee watanzania wenye sifa za kuteuliwa siyo waislam wenye sifa wala wakristo wenye sifà! Akifanya hivyo tumpe kazi mwenyewe afanye random sampling! Ukiweka orodha ya wasomi wote wenye PhD na Masters nchi hii halafu ufanye random sampling with replacement ya watu 50 ambao utawapa nfasi ya uwaziri na naibu waziri, naomba nimwulize shekhe Khalifa: 1. Kuna probability IPI kuwa: (a). Wa kwanza kuwa sampled atakuwa shehe/Ustadhi mwenye PhD/Masters? (b). Wa kwanza kuwa sampled ni Padri/Askofu/Shehe mwenye PhD/Masters ?(c). Wa kwanza kuwa sampled ni Mwislam mwenye PhD/Masters? (d). Wa kwanza kuwa sampled ni Mkristo mwenye PhD/Masters?
Lengo la maswali haya ni kumwonyesha Khalifa kuwa MTU yeyote yule akiwemo Khalifa mwenyewe akiataka kufanya uteuzi ambao hauzingatii dini ya MTU hata chembe atajikuta amechagua wengi wakristo kuliko waislamu! Hii ni kwa sababu japo wasomi waislam wapo lakini wasomi wakristo wapo wengi zaidi!
Sina uhakika kama Shekhe Khalifa anaijua Shana ya probability! Labda nimrahisishie! Ukichanganya sarafu10 za sh 200 na sarafu 70 za sh 500 kwenye chombo halafu zikachanganywa vizuri. Ukiambiwa uchukue sarafu moja bila kutazama wala kubagua bagua, kuna uwezekano mkubwa zaidi wa kuchukua sh. 500 kuliko sh 200!
Hali kadhalika kwa kuwa kuna wasomi wengi wakristo kwa sasa kuliko waislamu (Na ukweli huu haukanushiki ), Kama Rais akiteua waziri leo kwa kigezo cha usomi kuna uwezekano mkubwa kuwa atakuwa mkristo kuliko kuwa mwislamu. Inabidi ajilazimishe kuwa na upendeleo wa ziada ili uwezekano uwe mkubwa kwa mteule kuwa mwislam! Watanzania hatuhitaji upendeleo au uteuzi kwa misingi ya Dini!
Huu ni ukweli wa kisayansi kupitia probability pronciples!

Wewe kwenu mbinguni haya ya duniani yanakuhusu nini?

Umesoma alichoandika Khalifa?
 
rais awahujumu waislamu kivipi?,
kwani mawaziri wakiwa wakristo tupu ndo waislamu wanahujumika au taifa linahujumika?,
kama mtu anakamata madaraka kwa mfano ili akafanye kazi za akina pengo au malasusa hiyo ni hujuma kwa taifa na si waislamu pekee,

huyo mtu kwa mfano akaidhinisha bilions zikajenge seminary au st patric universy,badala ya kujenga miundombinu,hasara ni ya taifa nzima sio waislam pekee.

Huo mzaha sidhani kama magufuli anao,
alichofanya khalifa ni kumshitua rais pengine ilitokea by accident
Sasa mnapoza nini,eti mnasema ilitokea by accident>Hakuna accident hapo,watu wameteuliwa kwa uangalifu na ameshirikisha washauri wake.Ni either ndio the best aliowapata au amewahujumu waislam.Teuzi haziwezi fanywa kwa kuongeza kipengele cha dini,eti kwa kuwa dini fulani tayari tuna watu wengi basi tuache kuteua tuchukue wa dini fulani kubalance,hilo halitatokea.Na kwa jinsi mnavyopiga kelele Magufuli ndio kwanza anatia pamba masikioni,nadhani tayari unamjua vizuri kwa hilo.
pili,hiyo mifano yako unayotoa unakuwa msahaulifu.Au unadhani tumesahau Kikwete alivyowajengea chuo kikuu cha kiislami morogoro kwa fedha za serikali?Unadhani tumesahau Rais Magufuli alivyotumia ofisi ya umma(IKULU) kuwaombea kwa Mfalme wa Morocco mjengewe msikiti wa kisasa?Mbona tuko kimya?Angekuwa ameomba lijengwe kanisa,nadhani akina shekhe Khalifa wangeandamana.
 
Haya hii hapa source mkuu wangu kutoka JF na kwenye gazeti pakuwa mwenyewe usome kisha tufahamishe Mtei muasisi wa Chadema ni mdini au siyo mdini.

Bofya hapa chini.

Mtei amefilisika kimawazo - Zitto
nikisoma nitakujibu,ila na wewe nijibu ka swali kangu.Mlalamikiwa hapa ni Magufuli,so tuambie Magufuli kapitiwa teuzi zake,au ni vigezo na sifa katumia au ni mdini?
 
katiba ya nchi inampa rais mamlaka ya kuteua hizo nafasi kwa utashi wake,
sasa hatujui vigezo gani katumia,
anachokisema khalifa katika uzi wa kwanza ni kupoint kuwa katika uteuzi kuna asilimia kubwa ya christian akaweka na data kuthibitisha,
humu watu wakajibu kuwa sababu kubwa ni kuwa hamkusoma,
ndo ukaja huu uzi kuonyesha mbona kama sababu ni elimu kuna wasomi waislamu?
Khalifa hajasema anamforce rais atengue teuzi.


Neno udini linatumika vibaya
sasa anamtaka Rais aongeze kigezo kwenye uteuzi wake,kigezo cha dini kiwemo.Kwamba kila majina yakija achukue ya kikristu idadi fulani na ya kiislamu kiasi fulani,daaah its a shame kama tumefika huko.Mwl Nyerere alisema ikitokea Rais akawa muislam,muislam,muislam so be it,ikitokea akawa mkristo,mkristo,mkristo so be it as long as wana vigezo.Hatumchagui mtu kwa dini wala kabila yake lakini competence.
 
Lao humjuwi Mtei au swali limekukaba mpaka una hemea mnh mnh mnh.
sasa tuanze kumjadili mtei humu?Fungueni uzi mwingine/.Je,Magufuli ni mdini?Kama jibu ni hapana sidhani kama kuna haki ya kuhoji teuzi zake kwa kuangalia dini.
 
Wazo langu na mchango wangu
Ktk haya yanayo endelea kwa waislamu BORA KUGAWANA NCHI ili wasiosoma waongozane wenyewe na wasomi waongozane wenyewe
 
Back
Top Bottom