Sheikh Farid Hadi Ahmed...Kulikoni?

Nimekuwa nikiangalia taarifa mbalimbali za habari na kuangalia pia picha za huyu jamaa. Nimestushwa zidi kuwa huyu jamaa aliwahi kuwa mwanjeshi! Hilo sio baya sana ila kwa hili la kutumia alama ya CDM linanipa wasiwasi kidogo!

Soon mtasikia chama hiki kinahusishwa na huyu jamaa! Inawezekana kabisa ukawa mpango mkakati wa jumuiya hii ya JUMIKI hasa Sheikh Farid kupandikizwa kama mbegu ya CHUKI dhidi ya Watanzania kuamini kuwa CDM ni chama chenye vurugu!

I might be wrong but we have to connect the dots! Kwa nini anatumia alama hii maarufu kwa chadema hasa wakati huu akiwa anamulikwa sana na vyombo vya habari. Kwenye siasa wanasema kuna mchezo mchafu! Is this one of the dirty game? am just thinking!

Hata freemansonry wanaitumia hiyo alama!!
 
Shida yetu tulio wengi ni kuwa tunapenda kuonekana global people lakini in the real sense we have always remained local. Alama hiyo mkuu wala siyo ya CDM, ni alama ya VICTORY kwa maana ya USHINDI, imekuwa ikitumika sehemu nyingi ambazo watu wamekuwa wakiuona uongozi uliopo kuwa ni kandamizi. Kwenye medani ya Tahril (CAIRO) wale waandamanaji walitumia "V", Tunisia, Libya nao pia waloitwa "waasi" walitumia alama ya "V"ictory. Angalia Syria utaona kuwa wale wapigania uhuru wanategemea ushindi na kuonesha "V".CDM nao ni wapigania ukombozi wa nchi hii toka mikononi mwa wakoloni wazalendo so "V" haijaasisiwa na CDM. Na hata kama watu wengine watatafsiri vinginevyo bado haitaondoa ukweli, itakuwa ni erroneous certainity tu!!!
 
Aliyekwambia sijui nani? Mimi nimetaka kujua matumizi yake! Matumizi ya tooth brush ni kinywani ukitumia kwenye tundu la choo sio matumizi yake!
MANGI ALAMA YA V NI MANATI km huko mgombani hamkuwida jorowe poleni sana hata watoto wa mjini unaweka rubber-band (ile mipira ya kufungia pesa Benki) unapachika silaha na unambabua mtu kupitia hapo kwenye vidole 2
 
Nimekuwa nikiangalia taarifa mbalimbali za habari na kuangalia pia picha za huyu jamaa. Nimestushwa zidi kuwa huyu jamaa aliwahi kuwa mwanjeshi! Hilo sio baya sana ila kwa hili la kutumia alama ya CDM linanipa wasiwasi kidogo!

Soon mtasikia chama hiki kinahusishwa na huyu jamaa! Inawezekana kabisa ukawa mpango mkakati wa jumuiya hii ya JUMIKI hasa Sheikh Farid kupandikizwa kama mbegu ya CHUKI dhidi ya Watanzania kuamini kuwa CDM ni chama chenye vurugu!

I might be wrong but we have to connect the dots! Kwa nini anatumia alama hii maarufu kwa chadema hasa wakati huu akiwa anamulikwa sana na vyombo vya habari. Kwenye siasa wanasema kuna mchezo mchafu! Is this one of the dirty game? am just thinking!

Hiyo sio alama ya CDM hata kidogo ila ni ishara ya amani I think you know this
 
Chadema inachonga barabara wengine wanaiga. Ukiona hadi magaidi wanaiga chama kubwa hakika kumekucha.
 
Hata makamanda waliomng'oa ghadafi na kumtia adabu walitumia alama hiyo.Usiumize kichwa sana ni alama ya ushindi.
 
Na je kama huyo Farid alikuwa anamueleza huyo askari kuwa walikuwa wawili kwenye hilo sakata? Kwani kufanya hivyo vidole ni ishara ya Chadema tu? Na mbili kwa vidole unaionyeshaje sasa? Only narrow-minded people can have such kind of a notion!
Huenda alikuwa akiashiria apewe mkasi ili anyoe madevu yake!
 
Back
Top Bottom