johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 85,832
- 145,837
Shehe Kundecha alichangia muswada wa sheria za Uchaguzi anasema alishangaa kumsikia mkuu wa mkoa mmoja kumwambia Rais wa Wakat huo kuwa mkoani Kwake hakuna Mgombea wa upinzani atakayeshinda Udiwani wala Ubunge
Kundecha akasema alipowauliza Tume ya Uchaguzi kuwa RC huyo watamchukulia hatua gani NEC wakamjibu hawawezi kumchukulia hatua zozote bila Wananchi Kulalamika
Mlale Unono 😀😀🔥
Kundecha akasema alipowauliza Tume ya Uchaguzi kuwa RC huyo watamchukulia hatua gani NEC wakamjibu hawawezi kumchukulia hatua zozote bila Wananchi Kulalamika
Mlale Unono 😀😀🔥