Shehe Ali Ngeruko: Acheni kuchinja Watoto ili kujipatia Utajiri na Madaraka ndio Ujumbe wa Eid el Adh'haa

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,149
Kaimu Mufti Shehe Ali Ngeruko amewataka Umma wa Waislamu na wasio Waislamu kuachana na Imani potofu ya Kumchinja Binadamu mwenzako Ili kujipatia Utajiri na Madaraka

Kuna Watu bado wanauwa Watoto wao kwa Imani ya kujipatia Utajiri na Madaraka na Ili wawe Watu Maarufu katika jamii hapa Duniani, amesema Shehe

Shehe Ngeruko amesema Baba wa Imani alishahitimisha ubaradhuri huo pale alipomchinja Kondoo badala ya mwanae Ismaili

Hivyo Shehe amewasihi sana wale waliochinja Watoto kwa Imani ya kale ya mungu wa Bahari na kuwachimbia kwenye Nguzo za Nyumba zao kufanya toba na kumrejerea Mwenyezi Mungu wa mbinguni

Source: TBC
 
Sasa ukiwa na litoto kama Kulwa Jilala Kamanda Asiyechoka si ni kuyachinja tu.

These dudes are eligible for sacrifices.
 
Kaimu Mufti Shehe Ali Ngeruko amewataka Umma wa Waislamu na wasio Waislamu kuachana na Imani potofu ya Kumchinja Binadamu mwenzako Ili kujipatia Utajiri na Madaraka

Kuna Watu bado wanauwa Watoto wao kwa Imani ya kujipatia Utajiri na Madaraka na Ili wawe Watu Maarufu katika jamii hapa Duniani, amesema Shehe

Shehe Ngeruko amesema Baba wa Imani alishahitimisha ubaradhuri huo pale alipomchinja Kondoo badala ya mwanae Ismaili

Hivyo Shehe amewasihi sana wale waliochinja Watoto kwa Imani ya kale ya mungu wa Bahari na kuwachimbia kwenye Nguzo za Nyumba zao kufanya toba na kumrejerea Mwenyezi Mungu wa mbinguni

Source: TBC

Hapo ndo kuna confusion, alietakiwa kuchinjwa ni Ismail ama ni Isaka? Mana maandiko ya zaidi ya miaka 2000B.C yanapingwaje na maandiko ya miaka 600A.C?
 
Kaimu Mufti Shehe Ali Ngeruko amewataka Umma wa Waislamu na wasio Waislamu kuachana na Imani potofu ya Kumchinja Binadamu mwenzako Ili kujipatia Utajiri na Madaraka

Kuna Watu bado wanauwa Watoto wao kwa Imani ya kujipatia Utajiri na Madaraka na Ili wawe Watu Maarufu katika jamii hapa Duniani, amesema Shehe

Shehe Ngeruko amesema Baba wa Imani alishahitimisha ubaradhuri huo pale alipomchinja Kondoo badala ya mwanae Ismaili

Hivyo Shehe amewasihi sana wale waliochinja Watoto kwa Imani ya kale ya mungu wa Bahari na kuwachimbia kwenye Nguzo za Nyumba zao kufanya toba na kumrejerea Mwenyezi Mungu wa mbinguni

Source: TBC
Mbona unachagua la kusema?....vp msimamo wao kuhusu Mkataba wa Dp World? ...
 
Back
Top Bottom