Kwa vile ww unakuja na stories kila siku za mademu wanaokutaka, maex wanaokung'ang'ania na unaowafukuzia unadhani kila mtu anashiriki ligi yako? U shouldn't care manake hata kama anadanganya haiwezi kula kwako.
Kabisa kabisa, tatizo ni moja sio sababu ya kubadilika tu, vipi ukaowe mwanamke ambaye wazazi wake hawakupendi?
Ukisoma swali la mtoa mada anasema wazazi wake hawataki wawe na uhusiano, na kama huyo binti wazazi wake hawataki wawe na uhusiano naye....sidhani kama anaheshima kama anavyo dai mtoa mada.
Heshima inanza nyumbani, huyo ni wale wanao act tu, mana kama hawaombi samahani wazazi wake walio mzaa na hawasikilizi...vipi akaombe samahani kwa asiye mzaa...Inataka akili kugundua mtego huo.
Fuata nyayo zangu kijana. Baada ya kuona madingi wanaleta longolongo tukakubaliana nikamkabizi mimba. Walipouliza mimba ya nani na kuambiwa ni yangu, kwanza wakamaindi lakini hawakuwa na jinsi bali kushinikiza ndoa ifungwe haraka sana ili kukwepa aibu ya mtoto wa wacha Mungu kuzalia nyumbani.
Chezeya mimba wee.....!
Duh! Kumbe ulimpata bibi yetu kwa style hii! Weeni noumer