She Makes Me Cry

Gracious

JF-Expert Member
Jul 12, 2011
1,890
1,082
My Irenerose

Ni mrefu lakini si mrefu sana,
Ni mwembamba lakini si mwembamba sana,
She is of medium Size,She is My Alizee of La Isla Bonita
Ni mweupe lakini si mweupe sana,

She is modal,She has cute eyes.
She has the beautiful figure that any reasonable man should get crazy on. My Cute gal, She is My Monalisa
Anapenda kulia anapokuwa na furaha.
Hapendi kukasirika,hata akichukia huwezi kuona

Ana tabasamu all the time,ukimwangalia utadhani anakuita.
Her eyes are damn cute,I love her dental formula,so arranged.
Oh My God,her lips attracts kissing always hua namfananisha na Angelina Jolie for her Lips
Nywele zake ndefu na natural,so amazing,Her Legs are so sexy,her waist so attractive.So good in game

Anapenda kusema Asante ninapomtendea kila jambo_Oh My God,nikishukuru ananiambia Asante kwa kushukuru
Ni mwepesi wa kuomba msamaha pale anapokosea. Anapenda kunipa Pole hata nikichelewa kuamka asubuhi.
She is good to my friends and my family, everybody in my family loves her, she is so charming
She is a hard worker, She is a good adviser, BUT she is so Jealous

She cries much when I travel, she even follows me where i am ,Oh My God, She comes to my Office during Lunch time she says she cant afford to miss me.Anakuja kwangu hata saa saba usiku,kisa kanimisss.

Wanajamvi,Nifanyeje

  • Wazazi wake hawataki nimuoe kwa sababu ya Utofauti wetu wa Madhehebu ingawa wote ni Wakristo.Hua analia sana kutokana na hili,ananifanya na mimi nitoe machozi.
  • Anasumbuliwa sana na Other men wanting to take her away from me. Mnaniambiaje jamani,nikimwoa haitakuja kuwa mateso ya maisha kweli manake na mimi nina wivu naye.
 
kama unampenda badili dini basi au yeye abadili, kwani nani kakwambia dhehebu linampeleka mtu mbinguni?

After I started reading I thought it was an ode to your lady.

But it appears as if you have a problem. If indeed it is a problem then what you have is a good problem - two lovebirds who are smitten with each other.

It doesn't get any better than that.
 
Gracious yawezekana upo serious.... BUT Sometimes thread ikiwa kama hivi kunakua na uwalakini.... Wazazi wanajua mna date na hawataki; Siku zote mtoto wazazi wa mtoto wa kike wakisha jua kuna kijana anamchanganya binti yao (hasa ambao ni wadini); huyo binti anaanza kua chini ya Ulinzi.... Ubavu wa kukufuata luch kila siku na kuja saa saba za usiku kwa binti unakua haupo.

Kwamba hao wazazi ni wagumu kiasi gani wote ni wakristo hawataki muoanae... Ni Wasabato Vs Catholics? Kwamba wewe umefanya/cheza nafasi gani kuonesha huyo binti unamtaka at all cost?

Kingine.... Kama mwanume mwenzio anakujua... na anajua kua una mwanamke wako; na wazi kabisa anataka mchukua hadi wewe uka note... naomba jiangalia mara mbili... Real men don't do that openly; Watafanya dhidi ya back yako lakini sio hadi wewe uwaone.... Please correct me if I am wrong.
 
Ashadii,

Yo got it very correct.She is Msabato and i am a catholic. Wazazi wangu hawana shida kabisa,tatizo ni wazazi wake,wameshajua kua niko nae,wananifahamu ingawa sio kwa kutambulishwa kwao.Wamemzuia hata kuwa na mimi,dini imekua kama ni factor ya ziada.Wamenichukia zaidi kwa jinsi binti yao anavyoning'ang'ania mimi na hawasikilizi kuhusu kuachana na mimi.Notion yao wanataka aolewe na mtu aliyekulia katika malezi ya kisabato.

Nimekua na ukaribu wa kirafiki na kaka zake na dada yake huyu binti,we are very nice and in good terms.Tatizo misimamo ya mama na baba yake.

Kuhusu Other men,It is that this girl of mine does not hide watu wakimapproach,She always tell me.The sms and calls anazopata are many.

Kuhusu Lunch,hua anatumia mda anapokua college kuja.Usiku hua anatoroka.Ukweli i know she loves me much
 
After I started reading I thought it was an ode to your lady.

But it appears as if you have a problem. If indeed it is a problem then what you have is a good problem - two lovebirds who are smitten with each other.

It doesn't get any better than that.

Mkuu,

You may call it an Ode,you are perfecto,I was trying to let you understand how this girl is to me.Come on again "Mnyama Hatari", a good problem? Why?
 
Kingine.... Kama mwanume mwenzio anakujua... na anajua kua una mwanamke wako; na wazi kabisa anataka mchukua hadi wewe uka note... naomba jiangalia mara mbili... Real men don't do that openly; Watafanya dhidi ya back yako lakini sio hadi wewe uwaone.... Please correct me if I am wrong.

Sasa huyo real man atamchukuaje tu huyo mwanamke pasipo huyo mwanamke naye kutaka?

Au mwanamke hana usemi? Yeye akitakwa tu anachukuliwa? Kama si hivyo kwa nini mwanamke asiseme "hapana, sitaki. sitaki kwa sababu nina wangu tayari. nenda katafute mwingine na tafadhali achana na mimi"?

Au ni vigumu kwa mwanamke kusema hivyo?
 
Myama Hatari... soma tena post.... Mwanamke analia juu yake, mwanamke anamfuata lunch sababu ya kum miss, Mwanamke analia kukataliwa na wazazi.... Au mwenzangu umesoma post yangu na ya mhusika hujasoma?

Need I say more?
 
You simply want to cry! Why don't you cry forever and find out later that you ar a loser?

My Irenerose

Ni mrefu lakini si mrefu sana,
Ni mwembamba lakini si mwembamba sana,
She is of medium Size,She is My Alizee of La Isla Bonita
Ni mweupe lakini si mweupe sana,

She is modal,She has cute eyes.
She has the beautiful figure that any reasonable man should get crazy on. My Cute gal, She is My Monalisa
Anapenda kulia anapokuwa na furaha.
Hapendi kukasirika,hata akichukia huwezi kuona

Ana tabasamu all the time,ukimwangalia utadhani anakuita.
Her eyes are damn cute,I love her dental formula,so arranged.
Oh My God,her lips attracts kissing always hua namfananisha na Angelina Jolie for her Lips
Nywele zake ndefu na natural,so amazing,Her Legs are so sexy,her waist so attractive.So good in game

Anapenda kusema Asante ninapomtendea kila jambo_Oh My God,nikishukuru ananiambia Asante kwa kushukuru
Ni mwepesi wa kuomba msamaha pale anapokosea. Anapenda kunipa Pole hata nikichelewa kuamka asubuhi.
She is good to my friends and my family, everybody in my family loves her, she is so charming
She is a hard worker, She is a good adviser, BUT she is so Jealous

She cries much when I travel, she even follows me where i am ,Oh My God, She comes to my Office during Lunch time she says she cant afford to miss me.Anakuja kwangu hata saa saba usiku,kisa kanimisss.

Wanajamvi,Nifanyeje

  • Wazazi wake hawataki nimuoe kwa sababu ya Utofauti wetu wa Madhehebu ingawa wote ni Wakristo.Hua analia sana kutokana na hili,ananifanya na mimi nitoe machozi.
  • Anasumbuliwa sana na Other men wanting to take her away from me. Mnaniambiaje jamani,nikimwoa haitakuja kuwa mateso ya maisha kweli manake na mimi nina wivu naye.
 
Ngoja amalize chuo, muishi pamoja. Mkishazaa mtoto mmoja; wazazi watakuwa hawana machaguo zaidi ya kuwaacha muishi!

Kwa muda huu, nawe ongeza jitihada ya kumtafuta/tembelea ili asikukose sana!

B yake; Badili dini, ukishamuoa rudi kwa Paroko. Lkn mjulishe mpenzio.
 
Ninachojua ni kwamba kama anakupenda kwa dhati msimamo wa wazazi is not a big dill maamuzi yako mikononi mwenu after all wewe utaishi na mtoto wao na sio wao... kama yeye hayuko tayari kubadili dini na mna kubaliana kwa dhati kila mmoja kuheshimu dini ya mwingine Kanisa litawafungia ndoa kwa sharti kuwa watoto watafuata dini ya baba yao na mama akiri kuwalea kwa msingi huo thats all.
 
wivu ni kidonda ukishiri utakonda, ewe dada nakupenda namuogopa mama yakoo.

Haka ka wimbo ka zamaniii, kanakuhusu.
 
Fuata nyayo zangu kijana. Baada ya kuona madingi wanaleta longolongo tukakubaliana nikamkabizi mimba. Walipouliza mimba ya nani na kuambiwa ni yangu, kwanza wakamaindi lakini hawakuwa na jinsi bali kushinikiza ndoa ifungwe haraka sana ili kukwepa aibu ya mtoto wa wacha Mungu kuzalia nyumbani.

Chezeya mimba wee.....!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom