she is very short...ushauri please

gambagumu

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
1,819
2,429
tulikua tunawasiliana kabla ya kuonana na baadaye tukapanga kukutana na kuishia kuwa wapenzi,ni mwaka miwili sasa niko nae. mwanzoni sikuona tatizo,tatizo lilianza pale yeye mwenyewe alipanza kulalamikia ufupi wake. ninapofikiria kusonga nae mbele hicho ndo naona kikwazo kwangu. sasa ananishinikiza nikajitambulishe kwao .nashindwa kufanya maamuzi..ni msichana kutoka tanga

Mkuu naona hujampenda..., ndio maana unamtafutia sababu.
Binafsi sioni tatizo la ufupi, ila kama wewe unaona tatizo hakuna ushauri hapa ambao utamuongezea urefu...

Ila kwa faida ya binti mwenyewe kama anajiona mfupi na inampunguzia kujiamini mshauri avae viatu virefu

Aksante....

mimi ndio chaguo langu, gamba hebu nipatia anuani yake tafadhalii

Mkuu naona hujampenda..., ndio maana unamtafutia sababu.
Binafsi sioni tatizo la ufupi, ila kama wewe unaona tatizo hakuna ushauri hapa ambao utamuongezea urefu...

Ila kwa faida ya binti mwenyewe kama anajiona mfupi na inampunguzia kujiamini mshauri avae viatu virefu
Halafu weweVOR napenda sana majibu yako, ahsante nakupa

Kwani huo ufupi ww ndio unaowona sasaivi mpaka alipo kwambia? mbona unajitoa fahamu wakati ukweli unauficha? sema kwenda kujitambulisha huko tayari na uliamua kumchezea tuu,sasa usimpotezee mda mwambie ajipange wewe sio muaaji bali nimchezeaji huyo mdada ataamua kusuka au kunyoa.

Halafu weweVOR napenda sana majibu yako, ahsante nakupa

VoiceOfReason ata mimi nimefuatlia sana majibu yake na hata michango yake...very talented!anajua kupanglia and ol tha staffs!ata coverage yake ya mdahalo wa KISENA was very fantastic...badae nkagundua he is an Ex Berlin boy!a boy from Tabora school-the head of Tz

Similar Discussions

Back
Top Bottom