Sharing office space

Smarter

JF-Expert Member
Nov 10, 2008
527
110
Wakubwa,
Natafuta mtu alie na office atakaekubali ku-share office na kampuni yangu. Mimi ninahitaji office table na kiti tu. Niko Arusha office location iwe close to City Center. niko tayari kushare costs. tafadhali alie na interest kusaidia pia tuutazungumza kuona ni jinsi gani nae atafaidika kwa msaada huu, zaidi ya kuchangia costs. Ni PM kama uko tayari and uko Arusha.
 
Na mimi nahitaji office ya ku-share, iwe iko Dar, Maeneo ya Mikocheni, Msasani au Upanga.

Nahitaji maximum vyumba viwili lakini hata kimoja kinatosha vile vile.
 
Hahahaha Fake ID, haya rafiki, Ngoja tusubiri.

Na mimi nahitaji office ya ku-share, iwe iko Dar, Maeneo ya Mikocheni, Msasani au Upanga.

Nahitaji maximum vyumba viwili lakini hata kimoja kinatosha vile vile.
 
Na mimi nahitaji office ya ku-share, iwe iko Dar, Maeneo ya Mikocheni, Msasani au Upanga.

Nahitaji maximum vyumba viwili lakini hata kimoja kinatosha vile vile.

kama uko dar waweza nichek kwa mazungumzo zaidi 0713388226,office location ni upanga,kariakoo na sinza.
 
Back
Top Bottom